Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
wanabadili muda wa kula tu, maana funga yenyewe watu wanakula Kwa kufuru. Haina ata maana.
 
Back
Top Bottom