Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Acha kukurupuka kuingilia imani ya watu kama hujui uliza usaidiwe kuliko kuhukumu.
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Kufunga maanake nini?
 
Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
Ndivio unavio danganywa na wakina miujiza
 
Kwamba siku zingine hamjiepushi na uovu? Sasa swala tano zinakuwa za kazi gani kila siku.

Mnaita kufunga kimsingi kwasababu hamli mchana na ndio mimi nimetoa changamoto kwamba huko sio kufunga.

Halafu jinsi unavyojibu hapa inaonesha namna gani hauelewi maana ya kufunga.
Wewe unae jua maana ya funga hasa kwa waisilamu tililika tuone tupate fwaida
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Sasa na huyo anafungaje wkt anakunywa maji ndo unasemaje umefunga
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Cheki picha hapa chini utajufunza kitu
20230325_114538.jpg
 
Sawa mkuu, kwahiyo mnajizuia na dhambi na chakula kwa muda kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Dhambi kila siku ni Katazo ila ukitenda mwezi huu unakuwa sawa naalieenda kuvutia banghe polisi tunajizuia na kula kunywa kujamiana na mke wa ndoa mchana mpaka jua linapo zama hapo yaliyo fungwa mchana usiku ya akuwa halali
 
Sema tu unakataa usichokijua, kwenye imani za watu.
labda wewe una mwongozo unaosimamia Dini zote, na madhebu yake ndiyo maana unaona wanakosea.

Ila ukijua wakatoriki na walokole wote, ni wanaamini yesu na kuna maeneo yanatofaitiana huwezi kuandika pumba hizi. maana Ukristo siyo Uislamu na Uislamu siyo Ukristo.
Kuna mkristo mmoja aliwahi niambia, wao dhehebu lao hufanga tendo moja moja, lakini yupo jamaa yangu, mchungaji ana kanisa lake, anafunga mara nyingi sana nje ya kwerezima, ila jioni anakula.

Nikupeleke pale kanisa kubwa la pale kimara korogwe, ukienda jioni utakuta wameandaa chai zao uji kwa ajili ya kufungua, Unachotakiwa Shika imani yako, mathehebu yako mengi.
 
Mkuu hakuna wasichoelewa hao jamaa...
Hapa linatengenezwa daraja tu la watu kutema kebehi na chuki zao!.
Na hii imekuwa ni desturi kila ifikipo kipindi cha mwezi mtukufu mijadala ya namna hii kujirudia.
Hapa utamaliza maarifa yako yote kuelezea jambo hili kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka lakini utaishia kujibiwa kwa kejeli tu.
Hata hii post yako angalia huyo mleta mada alichokujibu hapo juu.
Kweli mkuu jibu la kafiri ni kumyamazia tu
 
Leo akija mtu na kukwambia amepata maono kwamba uhuru wa Tanganyika ulikuwa June 5 mwaka 1957 na kwamba raisi wa kwanza wa Tanganyika alikuwa Rashidi Kawawa utakubali?

Hii ni exactly alichofanya Muhammad, zaidi miaka 600 baada ya Yesu yeye akaja na kuleta habari aliyoiita mpya (ingawa alisoma maandiko ambayo tayari yalikuwepo) na akaanzisha dini halafu kuna watu mpaka leo wanaamini stori yake kuliko yale maandiko ya wanafunzi wa Yesu waliokuwa mashahidi ya yote yaliyotokea.

Ni risk kubwa sana kuamini mtu mmoja against mamia ya mashahidi.
Hatuwezi kuamini ukirisito sababu kuanzisha Paulo baada ya yesu kuondoka pia Paulo alikuwa khanithi pia alia wanafunzi wengi wa yesu ndio maana alienda kuanzishia ukirito huo antiokia baada ya kuchukua mila za mipakani na kutunga anachanganya sehemu 1 na kuita ukirito,Muhammad ajaanzisha uisilamu kama unaa diko lete mwaka alipoanzisha uisilamu
 
Back
Top Bottom