Unasheherekea valentine day ukiwa wapi na nani?

Naam kataa ndoa wote mnatakiwa muonjeshwe how it feels to live without a wife kama hivyo, sasa hilo trailer tu fainali uzeeni fanya maamuzi mapema kabla hujachelewa msifikiri mkikataa ndoa mnawakomoa wanawake, kwa kifupi wanaume bado sana hamjajifunza kuishi bila wanawake acheni mbwembwe
 
Sikatai tena ndoa. Nimegundua mke ni muhimu. Mke ni zaidi ya ndugu na hela
 
..
IMG-20240214-WA0003.jpg
 
Sikatai tena ndoa. Nimegundua mke ni muhimu. Mke ni zaidi ya ndugu na hela
Wee inategemea. Mimi kaka yangu alikimbiwa na mke akiwa mgonjwa sana, sasa hivi kapona, mke kaenda kuzalishwa huko hana habari hata na watoto wake. Mwingine yuko ICU KCMC anapumulia mashine hajui anayetoka au kuingia , huyu naye mkewe kala kona, ni ndugu tu ndio tunahakikisha anapatiwa matibabu na huduma nyingine. Ndugu bado wana umuhimu sana likija suala la kuuguza kwa muda mrefu, wengine ni wapita njia tu wanaweza kukukimbia wakati wowote maana huna vinasaba nao.
 
Nikuomba Mungu. Ila mke ana nafasi yake asee, mwanamke ni kiumbe muhimu sana kwa mwanaume
 
Wakuu habari.

Mimi na sheherekea valentine day nikiwa nimelazwa hospital baada ya kupata ajali hivi karibuni na sheherekea na madaktari na manesi huku wakinipa vinywaji vyangu vikiwa drip za kutosha pamoja na sindano zisizo hesabika.

Nimelala hapa kwenye kitanda cha hospital

Je, wewe unasheherekea ukiwa wapi?

Nb:mke ana thamani kubwa lazima nitaoa asee, mimi siyo wa kuogeshwa na nesi
ni J5 ya majivu,
Ni rasmi tumejizuia na kuanza kujinyima kila aina ya shangwe na vile vya kujiinjoy....
Tunatafakari kuzaliwa, mateso, kifo na ufufuko wa Bwana Yesu Kristu kwa kufunga na kuomboleza sana.....

Tayari tumetubu na tutaendelea kutubu zaidi na tumetakaswa na sasa ni kazi ya kujitakasa zaidi na kujisogeza karibu sana na Mungu.

Tunaomba Mungu atujaalie kuepuka tamaa za kimwili na kiroho. Daima aambatane na kuandamana nasi katika kazi na majukumu yetu ya kila siku ya kujitaftia riziki halali

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom