Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Take a Picture by Young Thug...sijui kwanini huyu jamaa hakutoa video version.
 
Kid Cudi had enormous potential than Drake, tulitegemea angekuwa mkubwa kuwapita wenzake maana alikuwa ana kila rasilimali ambayo wasanii wenzake hawana. Alikuwa anajua kuandika, anajua kutengeneza biti, yuko chini ya Kanye West na kubwa zaidi tofauti na Rappers wengine yeye alikuwa anajua kuimba. Strange World....
 
Kid Cudi alikuwa anapitia mental health issues, alikuwa depressed kwa muda mrefu, hiyo ikasababisha hiatus kwenye carrier yake.

Jamaa hata ukimsikiliza album zake, utagundua anapenda kuandika depressing songs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…