Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
why all that 6 yrs? ushenzi mtupuNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
ila kwa daktari miaka 5+1 mshahara huo ni majangaNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Jumlishia hiyo laki 2+ ya mkopo atapa kama 1.1+ bado ndogo kulinganisha na status ya daktari.Je? Kama asingekua na mkopo? Haitoshi?
Kazi ni kipimo cha UTU
ila uzuri wa udaktari una access nyingi za kupata pesaNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Mimi nimemuonA mleta uzi hana akili, hela yote hiyooo😂Dahh!!. Maisha ya watanzania/waafrika ni mateso sana hakyanani.
Hiyo pesa usipokua na kazi unaweza itaman sana ila subiri upate hiyo kazi sasa.
Kwa haya majukumu tuliyojibebesha(micheps) na yale ya lazima ukiishika tu hiyo pesa inaisha hujui imeishaje.🤣Dahh!!. Maisha ya watanzania/waafrika ni mateso sana hakyanani.
Hiyo pesa usipokua na kazi unaweza itaman sana ila subiri upate hiyo kazi sasa.
🤣🤣🤣🤣Anaye jua mshahara wa mechanical engineering anitajie maana sio tunasoma tu! Mwakani naua mwaka wa 4 nisije nikawa nauza bangia mtaani