Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.
Mkuu ni kweli hela siyo rahisi ila hauwezi amini kuna taasisi mtu anapokea 3M entry level, huko private sector baadhi ya NGOs na makampuni ya madini kuna kada watu wanaanza na hiyo, labda gavoo ndio ishu utakutana na wachache kina TCRA, ATCL (engineer wa ndege), et al
 
Kwanza ana miaka mingapi kazini.. mbona hela ni kiduchu hivyo..
Huo mkopo Nampa pole sana,, akijichanganya akachukuwa mkopo tena CRDB/NMB basi kaisha
 
Miaka 6 ya msoto lakini malipo sawa tu na Mwanasheria wakipishana kiduchu mno.

Mwajiriwa Hifadhi za Taifa huko porini asiye na elimu kubwa analipwa mara mbili ya hii ya MD.
Sasa mwanasheria hapa kaingiaje comrade?? 😂

Kwanza hata Judiciary kwenyew hamnaga maisha
 
Sasa mwanasheria hapa kaingiaje comrade?? 😂

Kwanza hata Judiciary kwenyew hamnaga maisha
Wakuu serikalini musihangalie mishahara tu
Kule kuna incentives nyingi
watu wana TGS ila duuuh mtu anakula perdiem balaa
Kuna mtu namfahamu ana miezi 8 tu tokaaanze kazi yuko Tume ya ajira (not psrs maana watu huwa wanachanganya),aisee huyu anapiga safari balaa
Muda mwingi yuko mikoani,sahvi ana mikwanja utadhani kaanza kazi muda mrefu ila kaanza mwaka jana na alipata kupitia utumishi
 
Mwalimu na daktari watapata safari za kwenda wapi?
 
Mimi sio daktari lakini hiki kitu nakionaga hakipo sawa.Mtu amesota na mavitabu miaka mitano usiku halali mitihani migumu presha kama zote malipo yanakuwa hayo
 
Back
Top Bottom