Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

🤣🤣🤣 Umeona sasa! Ndio mana nakwambia WEWE BADO SANA
1.Wewe si umesema hautanijibu Tena?
2.Bado sana kwenye nini?,
3.Mi natoa nondo na kujibu Kila quote kwa hoja na reference,wewe unajichekesha
4.Tupo hapa kuwa pre empties WAPUMBAVU kama nyie munaoami ujinga ni gharama nafuu kuliko elimu
 
Mkopo 32,000,000 hiyo analipa mpaka anastaafu wanachukua na kiinua mgongo.

Na kuna wale wajinga wamesoma rusia mikopo mikubwa sijui watalipaje mana labda heslb wauze nyumba watakazo jenga
 
Sawa Mimi nimpumbavu mwenye hela sio mbaya, #vyetikabatini weka namba nikutumie hata 100k unaonekana haupo sawa
 
Usione nakosea hata kuandika nipo busy Sana dogo sina MDA wa kuandika namba hizo kupoteza mda
 
Braza nilishawah pata kazi flan kirahis mnoooo na ile kazi sikua hata naona ninachokifanya mpaka (honestly) siku nikamfuata msaidizi /chawa wa director nikamuuliza "hivi hakuna kazi zingine za kufanya zaidi ya hizi?? Mbona naona kama sifanya kazi hapa inayoe dana na mshahara mnaonilipa" kazi muda mwingi ni vikao vikao tuuuu na kuandika andika report, i was employed as an IT personelly lakin nikajua hapo ni mwendonwa software development tu ila kutwa nacheza na excel halaf sasa uliza mshahara, nilikua nalipwa milion 3.5 kwa mwezi.

Na kaz ilikua full kusafir, na kila ukisafir per dm 80k every day nje ya ofisi hapo umeshalipowa hotel, na chakula, ukiwa kwenye movement ya kiofisi ni gari. Unakula pipa mara 2 hadi 3 kwa week.

Ukija kusanya per dm mpaka mwez unaisha sio chini ya 1.5milion nje ya mshahara..
Hii ndiyo tunaiita kengewa haha
 
MDs wengi wana njaa hasa hawa wa local government.
Mshahara mdogo matarajio ya jamii makubwa.
Wanaishia kwenye mikopo ya kinyonyaji.
1.Katika nchi masikini kama Tanzania,MD WA local government Wana njaa ukicompare na taaluma zipi za local government?
2.Jibu hilo swali la kwanza?😃😃
3.wafanyakazi gani ambao wao hawaishi katika mikopo ya kinyonyaji?
 
Sawa Mimi nimpumbavu mwenye hela sio mbaya, #vyetikabatini weka namba nikutumie hata 100k unaonekana haupo sawa
1.Pesa kiasi gani?,maana hata mtu anayelipwa 2M hapa bongo nintajiri mno kwa GDP yetu ila ukienda U.S huyo ni masikini wa kutupwa
2.unadhani kua na pesa za halali,kiasi cha kua na standard life kama analoishi MD mwenye hio salary slip, ni jambo rahisi kwa Tanzania?
 
Mkopo 32,000,000 hiyo analipa mpaka anastaafu wanachukua na kiinua mgongo.

Na kuna wale wajinga wamesoma rusia mikopo mikubwa sijui watalipaje mana labda heslb wauze nyumba watakazo jenga
1.Je mshahara utabaki hivo hivo hadi anastaafu?
2.Hawezi kufungua biashara akafanikiwa kulipa huo mkopo?
3.Ni kweli ulishindwa kujiuliza swali namba 1 na 2?,je wewe sio MPUMBAVU😆😀
 
Back
Top Bottom