Huu ndio UPUMBAVU niliokua nauzungumzia enhe na daktari/muhasibu/engineer/mwanasheria wa TPA atakua analipwa nusu chini ya huyo mgambo bila shaka😆😆Huo mshahara analipwa mgambo mwenye cheti cha form 4 pale TPA.
Kweli maisha ni timing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio UPUMBAVU niliokua nauzungumzia enhe na daktari/muhasibu/engineer/mwanasheria wa TPA atakua analipwa nusu chini ya huyo mgambo bila shaka😆😆Huo mshahara analipwa mgambo mwenye cheti cha form 4 pale TPA.
Kweli maisha ni timing
Sasa taaluma gani kwenye taasisi hio hio wanafanya kazi masaa machache na kulipwa pesa nyingi?Umeshasema specialist hapo ametia miaka 9 ya darasana na bado hata 3M haufiki huo mshahara ili apate hela za kutosha ndo kama hivyo anateseka anafanya kazi masaa mengi kukidhi mahitaji na status yake.
Braza nilishawah pata kazi flan kirahis mnoooo na ile kazi sikua hata naona ninachokifanya mpaka (honestly) siku nikamfuata msaidizi /chawa wa director nikamuuliza "hivi hakuna kazi zingine za kufanya zaidi ya hizi?? Mbona naona kama sifanya kazi hapa inayoe dana na mshahara mnaonilipa" kazi muda mwingi ni vikao vikao tuuuu na kuandika andika report, i was employed as an IT personelly lakin nikajua hapo ni mwendonwa software development tu ila kutwa nacheza na excel halaf sasa uliza mshahara, nilikua nalipwa milion 3.5 kwa mwezi.Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.
Huu ndio UPUMBAVU tuliokua tunauzungumzia,yaani ufananishe degree ya doctor of medicine na muuza chips........lengo la elimu,sio kukupa tu pesa instantly la hasha, hata opportunities........huyo mwenye hio salary,anaweza kopa millioni 20 akajenga nyumba akapata Kodi kwa mwezi laki 2/au akaishi mwenyewe hio nyumba,.......akiumwa yeye na wategemezi wake anaweza pata first care services,yeye na wategemezi hospitali kubwa yeyote hapa bongo.Mu
Muuza chips aliyesoma darasa la saba anakunja 30k kila siku.
Elimu ni nzuri lkn kama haina returns inakuwa sio nzuri ten.
Tunashukuru Madktari kwa kutuendelea kutupa huduma kwa watoto wetu, wake zetu na. Wazee wetu pia wanapoumwa.
Kiukweli hiyo pesa haiendani
Hakuna Allowance huku mkuu.. ni mshahara pekee. Labda jeshini wao wana allowance ya nyumba,maji na umeme.Hapo kuna allowances hazijawekwa.
Huu ukweli mchungu ambao vijana wengi wakitoka chuo ndoto zao kuwa wafanyabiashara hawataki kuajiriwa,wakifika mjini wanaishia kua mawinga wa ofisi za walioajiriwa wanaanza kuwa maadui wa Kila taaluma😃😆😆Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Weka connection haraka sanaBraza nilishawah pata kazi flan kirahis mnoooo na ile kazi sikua hata naona ninachokifanya mpaka (honestly) siku nikamfuata msaidizi /chawa wa director nikamuuliza "hivi hakuna kazi zingine za kufanya zaidi ya hizi?? Mbona naona kama sifanya kazi hapa inayoe dana na mshahara mnaonilipa" kazi muda mwingi ni vikao vikao tuuuu na kuandika andika report, i was employed as an IT personelly lakin nikajua hapo ni mwendonwa software development tu ila kutwa nacheza na excel halaf sasa uliza mshahara, nilikua nalipwa milion 3.5 kwa mwezi.
Na kaz ilikua full kusafir, na kila ukisafir per dm 80k every day nje ya ofisi hapo umeshalipowa hotel, na chakula, ukiwa kwenye movement ya kiofisi ni gari. Unakula pipa mara 2 hadi 3 kwa week.
Ukija kusanya per dm mpaka mwez unaisha sio chini ya 1.5milion nje ya mshahara..
Access gani bhn,..?ila uzuri wa udaktari una access nyingi za kupata pesa
Hawajui hawa huku makazini hali ikoje. Vitisho na upuuzi mwingi.Access gani bhn,..?
Acheni kudanganya watu
Unaweza usiamini nikikueleza niliamua kuqcha ile kazi kwa hiyari yangu bila kulazimishwa.Weka connection haraka sana
Enhe na MD wa hifadhi za taifa TANAPA(serikali),analipwa bei gani?,........au unadhani TANAPA hamna madaktari wa binadamu na wanyama?😆😃Miaka 6 ya msoto lakini malipo sawa tu na Mwanasheria wakipishana kiduchu mno.
Mwajiriwa Hifadhi za Taifa huko porini asiye na elimu kubwa analipwa mara mbili ya hii ya MD.
Doctor anatakiwa kulipwa kwa ubora wa kazi siyo karatasi za darasani na shuleni ...karatasi za darasani na shuleni ni kwa ajili ya kuajiliwa tu ila mshahara ni matokeo ya kazi uliyo ifanya siku kwa sikuNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Allowances za magauni na calls Unategemea zikae kwenye salary slip?Hapo kuna allowances hazijawekwa.
Ukahisi something fishy was going on outside the pitch?Unaweza usiamini nikikueleza niliamua kuqcha ile kazi kwa hiyari yangu bila kulazimishwa.
Ilikua ni project ya mwaka mmoja, mimi nikafanya only 6 months only
Kifupi chances za daktari kutegemea tu kazi yake ndo awe tajiri ni ngumu sana.Hawajui hawa huku makazini hali ikoje. Vitisho na upuuzi mwingi.
Na kufikia kuwa specialist lazima uunguze tena sio chini ya 35M.Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.
Jumlishia hiyo laki 2+ ya mkopo atapa kama 1.1+ bado ndogo kulinganisha na status ya daktari.Jumlishia hiyo laki 2+ ya mkopo atapa kama 1.1+ bado ndogo kulinganisha na status ya daktari.
[/QUOTE