Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Huu ndio UPUMBAVU tuliokua tunauzungumzia,yaani ufananishe degree ya doctor of medicine na muuza chips........lengo la elimu,sio kukupa tu pesa instantly la hasha, hata opportunities........huyo mwenye hio salary,anaweza kopa millioni 20 akajenga nyumba akapata Kodi lwa mwezi laki 2/au akaishi mwenyewe hio nyumba,.......akiumwa yeye na wategemezi wake anaweza pata first care services,yeye na wategemezo hospitali kubwa yeyote hapa bongo.
Haya ni maswali ya ninyi WAPUMBAVU
1.Ushawahi jiuliza zikitoka ajira za walimu,watendaji wa kata serikalini,labda elfu 8 wanaoomba kwa nini hua zaidi ya 100,000-120,000,unadhani mabanda ya chips hawayaoni,au hawazioni fremu kariakoo?😆😆
2.Unajua kwa nini vyuo vya udaktari ada ya mwaka mmoja tu ni sawa na ada ya miaka 3 ya baadhi ya degree na chenji inabaki?,na wazazi ambao ni maengineers,lawyers,wafanyabiashata hugombania hizo nafasi kwa watoto wao?ili wasome?
NOTE
1.Baadae mtu huyu alianzia chini kama karani wa mahakama,muhasibu wa halmashauri,daktari wa zahanati,munakuja kumuita fisadi akishakua kamishna WA Kodi,ama jaji ama daktari bingwa,bobezi,.......kwa kulipwa muzo yenu ya biashara zas siku kwa saa
2.Baadae huyo MD akienda seminar na kulipwa per diem ya faida ya wiki ya machinga,munaita anatafuta Kodi vibaya😃😆
3.baadaya miaka 6 huyo MD akirudi masomoni na akawa anafanya consultation ya taaluma yake kwa 100,000/= kwa kichwa muje museme ana roho mbaya hajari uhai?😃😃
Nyie peaneni moyo tu ila kwa ground hali ni mbaya sana.
 
Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Hizo zipo mijini
 
Muhas ni 21M per year kwa baadhi ya MMED, hapo hatujajumuisha personal expenses. Watu waongee tu ila kiukweli madaktari wengi kiuhalisia wana depression kali sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20240716-184924~2.png
    Screenshot_20240716-184924~2.png
    76.4 KB · Views: 22
Back
Top Bottom