Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hilo deni ni hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio WAPUMBAVU waliojaa,😀😀,ukiwa masikini lazima uwe mnafiki pia,mlinzi huyo huyo anaomba mungu apate pesa na vitega uchumi ili watoto wake awasomeshe shule nzuri wawe madaktari😆😆So, watu waishie form four wakaombe kazi ya ugambo TPA, au sio?
Duuuuh... million 40.?Nina jamaa yangu anaenda kusoma specialist ya Paediatric mwezi wa 11 mwaka huu. Total gharama ni milioni 40.
Na anategemea alipiwe na Loan board tena.Ili uje ulipwe millioni 2.2 ya kuanzia. Humu tuuu...
Amesema Specialist. Sio jt Dr. Nenda Aga Khan kaulize Specialist wa watoto analipwaje na uone alivyo na market.Ili uje ulipwe millioni 2.2 ya kuanzia. Humu tuuu...
Lazima uwe na makasiriko na Intern kubabeki. Humu tuuuNa anategemea alipiwe na Loan board tena.
Mwisho wa siku mafanikio halali kama sio wizi, utapeli, ufisadi na utumiaji mbaya wa ofisi za umma lazima yaende taratibu na kwa Heshima kubwa sana ya Pesa. Ikiwemo kuchapa kazi kweli kweliYeah it is. Time management ndio muhimu. Wapo wanapata nyingi zaidi. Kama unataka ordinary life just work 9-5 sio Dr tu hata ukijiajiri.
Mshahara wa "Mechanical engineering" Au wa Mechanical Engineer?Anaye jua mshahara wa mechanical engineering anitajie maana sio tunasoma tu! Mwakani naua mwaka wa 4 nisije nikawa nauza bangia mtaani
Kwa hizo taasisi za Aga khan sawa. Sasa kwa hivi sasa hao specialist tunawahitaji KATAVI RRH na tutawalipa 2.2M.. Kwa uwekezaji wa milioni zaidi ya 35 it's no brainer.Amesema Specialist. Sio jt Dr. Nenda Aga Khan kaulize Specialist wa watoto analipwaje na uone alivyo na market.
We babu umetokea wapi? vijana wako wanataka waanze kazi na mshahara 5mMshahara wa "Mechanical engineering" Au wa Mechanical Engineer?
Hii nchi tutafika mbinguni tumechoka sana afu tutapangiwa kazi ya kudeki vyoo vya stendi...
Aga Khan Mkuu iko moja tu ya Dar. We unaongea kama vile Mikoa yote kuna Aga Khan.Amesema Specialist. Sio jt Dr. Nenda Aga Khan kaulize Specialist wa watoto analipwaje na uone alivyo na market.
Mtiti, Watakuambia Udaktari ni Wito.Na anategemea alipiwe na Loan board tena.
Hyo 2.2 ni basic ama? Na take home ni sh ngp hapoKwa hizo taasisi za Aga khan sawa. Sasa kwa hivi sasa hao specialist tunawahitaji KATAVI RRH na tutawalipa 2.2M.. Kwa uwekezaji wa milioni zaidi ya 35 it's no brainer.
Hawajui kwamba hata KATAVI RRH inahitaji specialist anayeanza na mshahara wa 2.2 MAga Khan Mkuu iko moja tu ya Dar. We unaongea kama vile Mikoa yote kuna Aga Khan.
Hizo minorities haziwezi kuwa mfano bora wa kujadili.
Basic man...Ni kivumbiHyo 2.2 ni basic ama? Na take home ni sh ngp hapo
Kila kitu hapa natolea mfano. Aga khan ni moja zipo private hospital nyingi tu. Siwezi kutoa mifano sehemu ambazo hata sizijui.Aga Khan Mkuu iko moja tu ya Dar. We unaongea kama vile Mikoa yote kuna Aga Khan.
Hizo minorities haziwezi kuwa mfano bora wa kujadili.
Story za vijiweni hizi mkuu... Kijana anataka akiwa Dr... Mishahara mitatu tu aende showroom akang'oe kitu cha Prado...We babu umetokea wapi? vijana wako wanataka waanze kazi na mshahara 5m
Hivi kwa MD aliyepo kazini anaweza kuomba mkopo Loan board akapata kirahisi? Au ni bahati pia?Mtiti, Watakuambia Udaktari ni Wito.
SahihiKila kitu hapa natolea mfano. Aga khan ni moja zipo private hospital nyingi tu. Siwezi kutoa mifano sehemu ambazo hata sizijui.
Sasa ndio tunakujuza kwamba specialist tunamlipa 2.2MKila kitu hapa natolea mfano. Aga khan ni moja zipo private hospital nyingi tu. Siwezi kutoa mifano sehemu ambazo hata sizijui.