Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Sifahamu sana loan board baada ya kumaliza MD. Wana policies zao.Hivi kwa MD aliyepo kazini anaweza kuomba mkopo Loan board akapata kirahisi? Au ni bahati pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifahamu sana loan board baada ya kumaliza MD. Wana policies zao.Hivi kwa MD aliyepo kazini anaweza kuomba mkopo Loan board akapata kirahisi? Au ni bahati pia?
wewe ni nani? Owner wa Akh au ?Sasa ndio tunakujuza kwamba specialist tunamlipa 2.2M
Nyie kina nani? Huyo specialist anatakiwa akapimwe akiliSasa ndio tunakujuza kwamba specialist tunamlipa 2.2M
Nyie kina nani?
Tulia. Wewe soma figure.Nyie kina nani? Huyo specialist anatakiwa akapimwe akili
Sawa afisa mwajiri wa matabibu....Tulia. Wewe soma figure.
Who, When, why za nini mkuu.wewe ni nani? Owner wa Akh au ?
Shida hautaki kuskia ukweli.Sawa afisa mwajiri wa matabibu....
Atakuwa HR Manager wa Kilimanjunju National Hospital ya Sudan ya Kusiniwewe ni nani? Owner wa Akh au ?
Umesema unawalipa. wewe ni nani unawalipa Ma Dr? Ili uwalipe Ma Dr inabidi uwe serikali au mmiliki wa hospital. Wewe ni nani?Who, When, why za nini mkuu.
Mimi nakuambia uhalisia wa malipo, sizungumzii Agha Khan nazungumzia serikalini.
Tuwekee pia mshahara na posho za Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, anayetakiwa kujua tu kusoma na kuandika!Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Haitakusaidia.Umesema unawalipa. wewe ni nani unawalipa Ma Dr? Ili uwalipe Ma Dr inabidi uwe serikali au mmiliki wa hospital. Wewe ni nani?
Malizia kabisa "kusoma na kuandika Kiswahili"Tuwekee pia mshahara na posho za Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, anayetakiwa kujua tu kusoma na kuandika!
MD,s saiv wapo wengi mzee..wapo kibao hawana ajira. Hata hizo part time hawapati..wengine wanafanya boda boda na wengine wanalipwa laki 2 huko kwenye vi private uchwaraMli9coment negative hamjui kitu,pamoja na huo mshahara kiduchu ila wana overtime na part time kwenye hospitali binafsi,wanapolipwa maradufu ya huu
Kwa hio serikalini kote madaktari bingwa wanalipwa 2.2M,yaani taasisi zote zinazomilikiwa na serikali,bila kujali,experiences,elimu,ilipo taasisi,taasisi ipo chini ya wizara gani etc........Who, When, why za nini mkuu.
Mimi nakuambia uhalisia wa malipo, sizungumzii Agha Khan nazungumzia serikalini.
Kwani hujui hii ni kazi ya Watoto wa maskini? 😆😆😆Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Acha uongo hauoni aibu .MD,s saiv wapo wengi mzee..wapo kibao hawana ajira. Hata hizo part time hawapati..wengine wanafanya boda boda na wengine wanalipwa laki 2 huko kwenye vi private uchwara