Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Huu ni mishahara tu pesa anayopiga ni zaidi ya hiyo ana percent kwenye consul
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Huu ni mshahara tu kuna pesa nyingi wanapata hesabu kila akimuona mgonjwa anapata percent ya consultation fee bado akiwa call analipwa bado overtime allowance pesa ya bima ana percent hujaweka vikao operation na hapo hajaiba bado huo mshahara hata haufikirii
 
Aisee hiyo basic hata usd 600 haifiki! Nchi za kifala sana hizi!
Kabisa mkuu.

Yaani tokea nianze kufikiria interm of dollars huwa nasikitika sana pesa tunayolipwa watanzania.

Eti mbunge analipwa dola kama 4500 kwa mwezi alafu tunalalamika kwamba ni pesa nyingi daah.

Ila kibongobongo ni pesa ndefu,lakini siku hizi nawaza interm of dollars atleast daktari angelipwa dola kama 2000$ monthly.
 
Umesema unawalipa. wewe ni nani unawalipa Ma Dr? Ili uwalipe Ma Dr inabidi uwe serikali au mmiliki wa hospital. Wewe ni nani?
Akikujibu nistue. Mi nawahi "Sheli" Wajanja wamenijuza kesho huenda wese likapanda bei... Potelea mbali yakute angalau bajaji ya mkopo iko FULL tank la mchongo...
 
Ngoja nikuwekee ya jamaa mmoja anafanya kazi ya sales.
IMG-20230426-WA0004-1.jpg


Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.
 
watanzania wenzangu hiyo pesa inatosha tena huyo ni mtu wa uchumi wa kati...
Tunachochea wizi wa mali zetu wenyewe na utendaji kazi mbovu..
kila nchi ina standard ya mishahara kwa watu wake...
Hawa wenzetu wanaokimbilia nje, mbona hawawekezi uko na wanarud huku? Tena wanajinyima kweli kweli
Maana yake ni kuwa huku aliiona pesa nying lkn kwa nchi husika inakuwa kweny standard low, medium, high
 
Back
Top Bottom