Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unawaza ki shule shule ndio sababu. Na unajiona wewe kama wewe ulivyo hapo..
Sio pesa ndogo, lakin kwa mtu mwenye majukumu hiyo ninpesa ya kawaida tu. Hiyo basic salary ya 1.5m ni wastan wa shiling 50k kwa siku.
Binafsi nikiwa kwenye mizunguko yangu kwa usafir tu umma ninkawaida wakat mwingine kumaliza mpaka 20k per day, hujala hujanywa hujafanya starehe yoyote na wala hujujumuisha pesa ya marumiz ya kila siku nyumbani kwa familia, sija mention ada wala bills ndogo ndogo kama gesi umeme, dharura na mambo mengine.

Hiyo pesa ni nying ila haitoshi utatakiwa kuishi kwa kujibana sanaaaaaaaa kiasi hufarahii kazi yako wala elimu ulioisotea miaka mingi matokeo yake unaanza kuwa mwizi kila kitu unaona dili hata packet ya panadol na mikasi au viwembe vya hospital utataman uibe ukauze..
Wakati mwingine angalia jinsi unavyojibu hasa Jinsi tofauti na yako. Umemnyanyasa ephen_ siamini unavyojitweza nyuma ya keyboard ni sawa na uhalisia wako!
 
Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Kwa tunapoelekea, hata specialist wataanza kulipwa upuuzi very soon. Washaanza kuwa wengi, Gyne, pediatricians, surgeons wamejazana madarasani kibao, in 5 years tutakuwa na floods of them. Btw, hata specialists serikalini hawana mshahara wa kutisha hivyo. Wengi bila kujiongeza na private clinics, malalamiko yatakuwa makubwa.
 
Wakati mwingine angalia jinsi unavyojibu hasa Jinsi tofauti na yako. Umemnyanyasa ephen_ siamini unavyojitweza nyuma ya keyboard ni sawa na uhalisia wako!
Ndugu yangu narumuk ,sio jukumu langu kukufanya uamin kile nisemacho kwa maana hata ukiamini haiwez kukufaa kitu.
Uhalisia wa maisha yangu kama ni kwel au uongo wala hata si jambo la msingi hapa ndio maana hujaona mtu yeyote akilipa headline hil. Kwahiyo nikushauri kwa upendo tu pambana na insecurities zako.

ephen_ Hajanyanyasika popote, mdogo angu huyu is a strong person. Ondoa shaka nae, na pianhongera kwa kumjali

Mwisho elewa maana ya kujitweza na kujikweza, umeyangaya hapo haya maneno mawil. Nafikir ulile ga kisema najikweza.
Kujitweza ni kinyume chake
 
Back
Top Bottom