Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Anaye jua mshahara wa mechanical engineering anitajie maana sio tunasoma tu! Mwakani naua mwaka wa 4 nisije nikawa nauza bangia mtaani
Umenifanya nicheke mpaka nimeulizwa hapa....😄🤣 Kaka Engineer saivi wametosha nyie mnasoma tu kuongeza idadi eti mechanical😄 Kidogo labda automobile Engeneer
 
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Kazi ya kijinga sana.. Halafu Jamii ina amini kuwa Ume someshwa na Serikali,. wana chukua namba yako, kazi moja ni kukupigia wakiwa na shida au form ya matibabu ya dogo kwenda shule
IMG-20240716-WA0010.jpg
 
Huu ndio UPUMBAVU tuliokua tunauzungumzia,yaani ufananishe degree ya doctor of medicine na muuza chips........lengo la elimu,sio kukupa tu pesa instantly la hasha, hata opportunities........huyo mwenye hio salary,anaweza kopa millioni 20 akajenga nyumba akapata Kodi kwa mwezi laki 2/au akaishi mwenyewe hio nyumba,.......akiumwa yeye na wategemezi wake anaweza pata first care services,yeye na wategemezi hospitali kubwa yeyote hapa bongo.
Haya ni maswali ya ninyi WAPUMBAVU
1.Ushawahi jiuliza zikitoka ajira za walimu,watendaji wa kata serikalini,labda elfu 8 wanaoomba kwa nini hua zaidi ya 100,000-120,000,unadhani mabanda ya chips hawayaoni,au hawazioni fremu kariakoo?😆😆
2.Unajua kwa nini vyuo vya udaktari ada ya mwaka mmoja tu ni sawa na ada ya miaka 3 ya baadhi ya degree na chenji inabaki?,na wazazi ambao ni maengineers,lawyers,wafanyabiashara hugombania hizo nafasi kwa watoto wao?ili wasome?
NOTE
1.Baadae mtu huyu alieanzia chini kama karani wa mahakama,muhasibu wa halmashauri,daktari wa zahanati,munakuja kumuita fisadi akishakua kamishna wa Kodi,ama jaji ama daktari bingwa bobezi,.......kwa kulipwa mauzo yenu ya biashara za siku kwa saa
2.Baadae huyo MD akienda seminar na kulipwa per diem ya faida ya wiki ya machinga,munaita anatafuna Kodi vibaya😃😆
3.baada ya miaka 6 huyo MD akirudi masomoni na akawa anafanya consultation ya taaluma yake kwa 100,000/= kwa kichwa muje museme ana roho mbaya hajari uhai?😃😃
Umeongea pointi nzuri wala sikupingi maana sijaja hapa kubishana na watu.
 
Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Is it ethical,Dr inabid atulie kwemue kituo chake kimoja we apo unazungumzia jinsi anavyoangaika kuokota uku na uku ili apate iyo 3m
Jamaa wanaseka sana asee hawakai ata nafamilia wanaunga kijiwe kimoja kwenda kingine 24/7 hawapumziki
 
Unadhani wafanyabiashara,madereva malori,mabasi,wao wanalala na familia zao muda wote.....maisha ni complete battle field
 
Is it ethical,Dr inabid atulie kwemue kituo chake kimoja we apo unazungumzia jinsi anavyoangaika kuokota uku na uku ili apate iyo 3m
Jamaa wanaseka sana asee hawakai ata nafamilia wanaunga kijiwe kimoja kwenda kingine 24/7 hawapumziki
Yeah it is. Time management ndio muhimu. Wapo wanapata nyingi zaidi. Kama unataka ordinary life just work 9-5 sio Dr tu hata ukijiajiri.
 
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Ulitaka Mapato yote ya serikali yatumike kulipa mishahara?
Mishahara inatolewa kwa uwiano kwa kila kada na inategemea uwezo wa muajiri sio sulla la kulipa tu.

Daktari analipwa mara mbili ya degree zingine kama uchumi, kilimo nk hivyo bado madaktari wake vizuri.
 
Back
Top Bottom