Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Mu
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Muuza chips aliyesoma darasa la saba anakunja 30k kila siku.

Elimu ni nzuri lkn kama haina returns inakuwa sio nzuri ten.

Tunashukuru Madktari kwa kutuendelea kutupa huduma kwa watoto wetu, wake zetu na. Wazee wetu pia wanapoumwa.

Kiukweli hiyo pesa haiendani
 
Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
 
Uwanja wa motivational speakers kuchukua point tatu za ushindi 😁

Hata hivyo, kabla hujapondea kazi flani, hakikisha unaweza nipa mchongo wa kutengeneza hiyo take home ya laki nane kwa mwezi maana na mimi naitaka
 
ila uzuri wa udaktari una access nyingi za kupata pesa
Hapa hatuzungumzii access ya kupata pesa nje ya kazi uliyosomea ama ajira uliyonayo.

Ukisema access ya kupata pesa nyingi nje ya ajira ama fani uliyosomea ni kada nyingi zina access hiyo wakiwemo wanasheria lakini tunazungumzia kile kinachoonekana ndani ya salary slip.

Sasa Daktari hadi aibe dawa akauze kwa watu wa famasi nayo ni hatari wakikudaka tu wanajichukulia points tatu kwako.
 
Huu ni mshahara wa kuanzia. Hata taaluma nyingine huanzi na milion nyingi. Vipi ushaona mshahara wa Spcialist Dr? Nina rafiki zangu ma Dr wako vizuri sana, Mtu ana clinic Hindu Mandal, Aga Khan, anafundisha Muhimbili na Kairuki na ameajiriwa full time hospital kubwa ya serikali. Nikikutajia anachopata kwa mwezi hutaamini. Ila anahenyeka hana muda wa kupoteza. Mwanzo mgumu vijana usitegemee utoke tu chuo ulipwe 3m Tanzania hii.
Sasa wewe unazungumzia mishe nje ya cycle ya kazi uliyoajiriwa.

Kama ni hivyo mbona fani nyingi tu zina hizo access unazosema daktari anazo.

Mtu wa sheria unakuta ameajiriwa full time lecturer lakini bado ataenda kufanya kazi za uwakili nje ya ajira yake, kufundisha vyuo privates kwa malipo tofauti na anayolipwa kwenye ajira ya kudumu.

Bado anaweza kuwa na ofisi yake ya uwakili napo ameajiri watu anavuta pesa.
 
Umeshasema specialist hapo ametia miaka 9 ya darasana na bado hata 3M haufiki huo mshahara ili apate hela za kutosha ndo kama hivyo anateseka anafanya kazi masaa mengi kukidhi mahitaji na status yake.
 
Ulisoma ili upate pesa ? Mbona kuna shortcuts nyingi tu za kupata pesa bila hata kusoma ?

Ifike wakati watu wasomee kitu ambacho wana calling kitu ambacho wapo comfortable kufanya kitu ambacho hata bure wangefanya; tofauti na hapo unakuwa mtumwa wa pesa....
 
Umeshasema specialist hapo ametia miaka 9 ya darasana na bado hata 3M haufiki huo mshahara ili apate hela za kutosha ndo kama hivyo anateseka anafanya kazi masaa mengi kukidhi mahitaji na status yake.
Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.
 
Sasa wewe unazungumzia mishe nje ya cycle ya kazi uliyoajiriwa.

Kama ni hivyo mbona fani nyingi tu zina hizo access unazosema daktari anazo.

Mtu wa sheria unakuta ameajiriwa full time lecturer lakini bado ataenda kufanya kazi za uwakili nje ya ajira yake, kufundisha vyuo privates kwa malipo tofauti na anayolipwa kwenye ajira ya kudumu.

Bado anaweza kuwa na ofisi yake ya uwakili napo ameajiri watu anavuta pesa.
Sasa wewe unataka ufanye kazi masaa 7 ulipwe 10m? Hivi watanzania nani kawaloga? Unataka hela nyongi work your ass off. Hakuna hela rahisi.
 
Mimi nimemuonA mleta uzi hana akili, hela yote hiyooo😂
Unawaza ki shule shule ndio sababu. Na unajiona wewe kama wewe ulivyo hapo..
Sio pesa ndogo, lakin kwa mtu mwenye majukumu hiyo ninpesa ya kawaida tu. Hiyo basic salary ya 1.5m ni wastan wa shiling 50k kwa siku.
Binafsi nikiwa kwenye mizunguko yangu kwa usafir tu umma ninkawaida wakat mwingine kumaliza mpaka 20k per day, hujala hujanywa hujafanya starehe yoyote na wala hujujumuisha pesa ya marumiz ya kila siku nyumbani kwa familia, sija mention ada wala bills ndogo ndogo kama gesi umeme, dharura na mambo mengine.

Hiyo pesa ni nying ila haitoshi utatakiwa kuishi kwa kujibana sanaaaaaaaa kiasi hufarahii kazi yako wala elimu ulioisotea miaka mingi matokeo yake unaanza kuwa mwizi kila kitu unaona dili hata packet ya panadol na mikasi au viwembe vya hospital utataman uibe ukauze..
 
ila kwa daktari miaka 5+1 mshahara huo ni majanga

Huku Kuna watu wamesoma mambo ya biashara au administration miaka 3 wanalipwa zaidi ya hiyo
Upon
Sasa nani anapata 3-5m kirahisi? Labda uwe mwizi. Hakuna hela rahisi sio mwajiriwa wala aliejiajiri. Mshahara wa kuanzia huwa ni mdogo popote pale,ila ukiendelea na kuwa specialist unapanda sio Dr tu hata taaluma nyingine.
Huo mshahara aliopost mto mada kwenye taasisi zinazolipa hio scale,huyo mwenye salary slip hio ndio analipwa pesa nyingi kuliko wa kada nyingine yeyote ile.
Asichojua LIMBUKENI/MTOA MADA,Kila taasisi bongo ina mshahara wake,huyo huyo muhasibu wa halmashauri analipwa 0.3 ukilinganisha na muhasibu wa TANAPA,.......sasa unakuta LIJINGA limoja linalinganisha mshahara wa mhasibu wa TANAPA na engineer wa halmsauri
Upumbavu mtupu
 
Back
Top Bottom