Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

Haina mbwembwe hapa kiutu uzima nasubiri mwaka .
 
Hebu kesha kwa kusali na kuomba kwa mungu maana upo kwa uweza wake,pombe haina maana kama yy,
 
Nipo matema beach, nimekuja huku na wife, tutaupokea mwaka mpya huku huku.
Castle lite ya tano hii naishusha taratiiiiiibuuuuuu na nyama choma, huku upepo mwanana wa ziwa Nyasa ukitupepea
 
nipo zangu hom nacheki muvi taratibu nashusha na mzinga wa konyagi nikiusubili mwaka.
 
Nipo La stanza Goba, nakunywa juice yangu taratiibu ingawa kampani niliyonayo wanajiburudisha na bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…