Asante
Asante, na hivyo ndivyo katiba yetu inavyosema!, kujiunga na chama cha siasa ni hiyari, ila kwa Tanzania, kipengele hicho kimechakachuliwa kwa ubatili kwa kuchomekewa kipengele batili ili Mtanzania kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma ni lazima ujiunge na chama cha siasa, hivyo kuna Watanzania, hawapendi kujiunga na chama chochote, lakini wanataka kuwatumikia Watanzania, hivyo kulazimika kujiunga na chama cha siasa!.
Watu watakuja na watapita CCM ni ile ile juzi, jana, leo, kesho na hata milele!.
Sii kweli kuwa CCM imejaa, hao watu wapo sio CCM pekee bali kote na vyama vyote watu hao wapo!.
Let's assume you are right, but kwa hali ya siasa za Tanzania, CCM isipochaguliwa kuna chama gani kingine chenye ability, capacity na capability kutawala nchi yetu?
duh...!
Hili hata mimi nililisemea
Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya
Naunga mkono hoja na hili mimi pia nimelisema
CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! na hapa
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali? na hapa
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Sii kweli mambo mbona ni supper sana tuu!.
Hili nililishauri kabla
Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na nikawapa the consequences. Sikuishia hapo baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa, nikashauri tena
Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi haikusaidia kitu, hivyo the consequences happened!.
Sii kweli
Asante nimekusikia!.
P