Unasubiri nini kuwa mwana CCM?

Unasubiri nini kuwa mwana CCM?

Ivi kwenye Ilani YENU na hii ya kukatakata Umeme ni Sehemu Yake, tired of this Shit.
 
Kwani mkuu wewe kuangalia kadi za kliniki za wanao ni kosa? Yani ni mpaka uombe ruhusa kwa wife?

Hebu kuwa serious mkuu, wewe chukua kadi za wanao wote kisha angalia kila mmoja amescore ngapi out of 10.

Unataka kusema Huyu Chawa ali score ngapi ?
 
CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.

Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.

Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Ahaaa kumbe siku hizi mmeipiku hata ANC kwa ukongwe?😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom