Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Albam nzima ya soukous star humo kuna kibao kinaitwa rosee....naomba albam nzima
 
Shukrani mkuu japo sio chenyewe lkn ubarikiwe Sana kwa kazi ya kujitolea unayofanya...ikitokea umepata pls nitumie
 
Mkuu sorry sio pepe kale ni koffi olomide wimbo sijui jina ila ni latest song yake ...

Unaimbwa papa mobimba yeee
Mkuu mbona hunitupii wimbo wangu , kila muda nacheki notification olaaa
 
Aisee mimi nautafuta wimbo wa Wenge BCBG uitwao Liberation, huo wimbo upo kwenye album ya Titanic. Mwenye nao nauomba tafadhali.
 
Aisee mimi nautafuta wimbo wa Wenge BCBG uitwao Liberation, huo wimbo upo kwenye album ya Titanic. Mwenye nao nauomba tafadhali.
Huu hapa , japo umeandikwa kama jb mpiana lakini ni wa Wenge BCBG ya JB Mpiana na mtunzi ni Aimelia Lyase Demingongo
 
Attachments

Attachments

Huu hapa , japo umeandikwa kama jb mpiana lakini ni wa Wenge BCBG ya JB Mpiana na mtunzi ni Aimelia Lyase Demingongo
Ahsante sana Mkuu, nimeutafuta sana huu wimbo. Ubarikiwe!

Democracy means that Domo kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…