Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Albam nzima ya soukous star humo kuna kibao kinaitwa rosee....naomba albam nzima
 
Shukrani mkuu japo sio chenyewe lkn ubarikiwe Sana kwa kazi ya kujitolea unayofanya...ikitokea umepata pls nitumie
 
Aisee mimi nautafuta wimbo wa Wenge BCBG uitwao Liberation, huo wimbo upo kwenye album ya Titanic. Mwenye nao nauomba tafadhali.
 
Huu hapa , japo umeandikwa kama jb mpiana lakini ni wa Wenge BCBG ya JB Mpiana na mtunzi ni Aimelia Lyase Demingongo
 
Attachments

Ahsante sana Mkuu, nimeutafuta sana huu wimbo. Ubarikiwe!

Democracy means that Domo kiasi
 
Back
Top Bottom