Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ule wa Joel Ntemba wa huyu huyu Suke ChileAmeimba na mzambia aitwaye Suke chile. huu hapa chini
Mkuu, naomba nyimbo zote za Sam Mangwanajina la wimbo please????
Nyimbo za Deffao Album ya 1993/94Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Unaitwa ee Africa muimbaji ni fraklin boukakaNa kuna wimbo unakiitikio wa
Ayee Africa eeh
Ooh Africa
Ayee africa eeh
Ooh africa
Sijamhua muimbaji wake
Ila hupigwa sana na radio Deutche Welle wakiwa wanaangazia mambo ya barani africa
Unaitwa ee Africa muimbaji ni fraklin boukaka
Me natafuta wimbo unaitwa boreau de coreus wa Denis Bonyeme....sijui unaufahamu mkuu
Naomba mtu autupie hapa nitashukuru sana
No! Anaitwa Manu Dibango...ngoja niangalie uwezekano wa kuupakia humu.Unaitwa ee Africa muimbaji ni fraklin boukaka
Unaitwa ee Africa muimbaji ni fraklin boukaka