Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mkuu Roga roga natafta wimbo au sebene, nisijue alieimba ni nan au kundi ngan" lkn kama ckosei wimbo unaitwa mgogo mgogo ( shika mgogo mgogo , na ndo wanavyoimba
 
Mkuu naomba nyimbo ya marioo ile aliyoimba Franco, na nyingine aliyeimba mwanadada meddley sijui ni nani yule ila ni marioo
 
Huu ni ukrasa maalum kwaajiri ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Nyimbo za Deffao Album ya 1993/94
 
Na kuna wimbo unakiitikio wa
Ayee Africa eeh
Ooh Africa
Ayee africa eeh
Ooh africa
Sijamhua muimbaji wake
Ila hupigwa sana na radio Deutche Welle wakiwa wanaangazia mambo ya barani africa
 
Kuna wimbo ndugu zangu miaka ya 1992....93..94

Nakumbuka baadhi ya maneno tu alieimba sijuwi wala jina halisi la wimbo

Maneno ni haya
Mume wangu NIMULEVI anakunywa pombe
Mume wangu NIMULEVI analewa POMBE

Na mengine ni

KAMBELEMBELE MAMAA KAMBELEMBELE MAMAA

Please help on getting this song ndugu zanguni
 
Back
Top Bottom