Shite boss
Senior Member
- Feb 18, 2018
- 167
- 201
Mkuu Roga Roga naomba uzidi kuniangalizia huu waMkuu Roga Roga naomba uniangalizie hizi..nitashukuru kama nitapata wowote kati ya hizi
Candidat na biso - Franco
Non Franco - Franco
Leyle - Franco & T.P.O.K Jazz
Tres impoli - Franco & T.P.O.K Jazz
pesa position na yo. - Madilu system
Expo 70 -Mbaraka Mwinshee & Morogoro Jazz band
Charonyi liwasi -Habel Kifoto
Safari ya Samburu - Les wa Nyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu tupia audio mkuuHicho kikiwa na english lyrics
NAOMBENI NYIMBO ZA YONDO SISTER ZILE ZA ALBAMU YA MBUTA MBUTU IKIWEZEKANA ALBUM NZIMA.
Naota nadanganywa by mbaraka mwinsheejina la wimbo please????
Mkuu Roga Roga na hizi usisahau
Mkuu nitumie ulizonazo, mi hata majina sizifahamu, ila nyimbo za hao watu huwa zinakikosha sanaunge specify mkuu....ukisema zote inakuwa ngumu saaaaaana