Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mi nazitafuta nyimbo za G-seven hawa walipiga mfumo mmoja na extra musica walitisha sana kwa solo na gitaa

kama kuna mwenye nyimbo zao please anitumie
 

Attachments

Mkuu Roga Roga naomba uniangalizie hizi..nitashukuru kama nitapata wowote kati ya hizi

Candidat na biso - Franco

Non Franco - Franco

Leyle - Franco & T.P.O.K Jazz

Tres impoli - Franco & T.P.O.K Jazz

pesa position na yo. - Madilu system

Expo 70 -Mbaraka Mwinshee & Morogoro Jazz band

Charonyi liwasi -Habel Kifoto

Safari ya Samburu - Les wa Nyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Roga Roga naomba uzidi kuniangalizia huu wa

Charonyi liwasi

Pesa position

Candidat na biso
 
Naomba kibao BINA NGAI ulioimbwa na Dalienest waTp ok Jazz
 
NAOMBENI NYIMBO ZA YONDO SISTER ZILE ZA ALBAMU YA MBUTA MBUTU IKIWEZEKANA ALBUM NZIMA.
 
Mkuu naomba unipe nyimbo zote za MBILIA BELI na MADILU SYSTEM
 

Attachments

Back
Top Bottom