Naomba loi wa koffi olomide na ule mmoja unataka wasanii wote was Kongo. Natanguliza shukrani zangu za dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Madilu system wimbo unaitwa LEAU upate hapa www.mp3.pmLoi uko YouTube acha uvivu, huo wa pili nitakupa jina lako kesho ila Ameimba Madilu
[emoji23] unataka usikie vzuri zile drumzMwenye wimbo wa quartier Latin academy sdf ule wenyewe kabisa acha za YouTube zina sumbua sana low qt
Ss mi nataka high
Mkuu kuna alubamu moja ilitolewa ya ki kongo ilikuwa na nyimbo kali sana ,mimi huwa siijui sana sijui ilikuwa utoto ila kwa juu ilikuwa imeandikwa G7 ,hizo nyimbo nazihitaji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zote nimeshazipata sasa. Mdau mmoja alinipatia.Natafuta hizi nyimbo kutoka kwenye album moja ya Aurlus Mabele ( hii album ninayo kwenye mfumo wa cassette) inaitwa "Elephants Ambiance" na hizi ndio nyimbo zilizopo
Tracklist:
1. Elephants Ambiance .
2. Tienbé Moin Fó
3. Elephants A Gagné
4. Motema Na Ngai
Haya naomba msaada hapo.
wenye iPhone tutapata tabu sana maana hazikubali kudownload.huuu hapa
wenye iPhone tutapata tabu sana maana hazikubali kudownload.
Naomba wimbo wa general defao sikumbuki vzur unautwaje but wenyewe unaanza na maneno "papaee yo imokibinda nkoye" humo ndani kuna vinanda vimepigwa huwa siwezi kukaa ukipigwa..!