Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mwenye wimbo wa quartier Latin academy sdf ule wenyewe kabisa acha za YouTube zina sumbua sana low qt
Ss mi nataka high
 
Natafuta hizi nyimbo kutoka kwenye album moja ya Aurlus Mabele ( hii album ninayo kwenye mfumo wa cassette) inaitwa "Elephants Ambiance" na hizi ndio nyimbo zilizopo
Tracklist:


1. Elephants Ambiance .
2. Tienbé Moin Fó
3. Elephants A Gagné
4. Motema Na Ngai

Haya naomba msaada hapo.
Hizi zote nimeshazipata sasa. Mdau mmoja alinipatia.
 
Roga Roga

Kuna wimbo unaitwa In Memoriam Lukusa wa Franco, bahati mbaya uliopo youtube una jina hilo lakini siyo wenyewe! Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom