Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Umefanya jambo la mbolea sana kuweka uzi huu, kwa kweli Mungu Akubariki!
 
Mwenye full album ya Papa plus na Magie please please
 
Naomba kuuliza swali.
Wewe ni Roga Roga kweli Mwanamuziki wa Zaire au hili jina umejipa tu??
 
Hapa kwenye soukus star umepatendea haki
Rossy
Morenita ndio ilikuwa my favorite kwa miaka ile ya 1994/5 hadi leo
 
Unatumiwa sana na Idhaa ya Kiswahili Radio DW kila jumamosi mchana kwente kipindi chao cha Africa
 

Attachments

Unaitwa Le bucheron
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…