Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mwamba vp mbona umeukimbia uzi wako mwenyewe au ndo majukumu yamekuwa mengi mkuu.

Mkuu Bakulutu na wewe umetokomea na kutususia uzi hivi hivi dah....
 
Huyu Fally huyu dah...kuna nyimbo tamu japo sielewi kikongo! Haya maisha haya kmmke ..😂🙌
 
zipo nyingi sana. Unge-specfy ipi hasa unaitaka
Naomba wimbo unaoitwa "Chawa", sijajua Kama uliimbwa na Mwanamuziki gani, lakini wimbo ambao umeimbwa kwa Lugha ya Kiswahili.
Kwenye huo wimbo wameanza kwa kuomba maneno haya,
......" Chawaa, chawaaaa,
Chawa ulinisumbua kwa muda mrefu chawa, naona leo sikutaki chawaaaa!!!..
 
Mkuu kama hutojali tupia hapa nzinzi nakei Nairobi embango na Kinshasa ya wenge Musca bcbg
 
Ndugu habari...naomba mashairi na tafsiri yake ya wimbo wa Iyolela ulioimbwa na Nana Akumu wa Afrisa International. Natanguliza shukrani zangu
 
Mkuu naomba tafsiri ya wimbo wa Iyolela ulioimbwa na Nana Akumu wa Afrisa International
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…