Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Naomba nyimbo za Mwanamziki wa Uga alie kufa kwa HIV KIMWI Alikua naitwa Feli. Kama sikosei.
 
Natafuta nyimbo zifuatazo

Racine Extra Music
Ndzima Extra music
Solitile extrA music
Yolanda Kanda Bongoman
 
Natafuta nyimbo zifuatazo

Racine Extra Music
Ndzima Extra music
Solitile extrA music
Yolanda Kanda Bongoman

Kula nyundo hizo wikiend iende vizuri
 

Attachments

solitude nitautuma baadae... muda huuu kila nikijaribu kuutuma unakataa
 
solitude nitautuma baadae... muda huuu kila nikijaribu kuutuma unakataa.
 
Mkuu una Album ya pepe Kalle full option ya 1993 kama sikosei.

Naitaka nzima kama utafanikiwa
 
Kuna ile ngoma ya Franco dizain Kama iko two in one..mwanzo anaimba "aza aza aza..halafu baadae biti linabadilika unasikia "Alobaki Nini eeeh eeeh.
 
Mkuu nimetafuta sana nyimbo za Oliver ngoma bila mafanikio. Naomba msaada wako tafadhali
 
Wakuu natafuta nyimbo ya diamond sound ilikua ikiimba
jumamosi, jumamosi tulale wap eeh
 
Kuna ule unaimba, aza kolingalongolo geeewe gewe gewe gewe, komalinga yasa, yasa ngombo ya songo
.
 
Kuna ile ngoma ya Franco dizain Kama iko two in one..mwanzo anaimba "aza aza aza..halafu baadae biti linabadilika unasikia "Alobaki Nini eeeh eeeh.
Natumaini unamaanisha huu wa madiluu na siyo franco..... solo gitaa ni dally kimoko
 

Attachments

Back
Top Bottom