Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Attachments

Mkuu nimetafuta sana nyimbo za Oliver ngoma bila mafanikio. Naomba msaada wako tafadhali
zingine pitia post za nyuma zipo kibao
 

Attachments

Dah nimeickiza ila sio hii
yenyewe ipo inaimba ivi
Jumamosi jumamosi tulale wapi sisi masikini
 

Attachments

Roga Roga katika maktaba yako nitapata nyimbo za bendi za Kitanzania..mfano Marquise..Tancut Almasi..vijana jazz nk..?
Kwa mfano wimbo Mpenzi Ruta..
 
Ile album ya Mario part one,baada ya ya Mario,ile nyimbo ya pili sijui inaitwaje Ila wanaimba sana kama.Esperance ya mokili kisanga,bashasheo yamokili sobalembulee,halafu Luna kasauti flank kanaitikia
Bolingo ezali ya motema mima leee,
Mwenye ujuzi na wombo aniwekee.
Album Mario part 1
Ya Franco
Mwaka 1985
 
Back
Top Bottom