Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Jamani naombeni waimbo mmoja wa Alan Kounkou jina nimelisahau ila anzitaja nchi zote za Afrika na Afrika anaitaja mara kwa mara
 
Kuna zile nyimbo za roketo band walipokuwepo Lucien bokilo na awilo longomba albamu moja hivi Kali. Na nyingine za zaiko langa langa familia day.
 
Mkuu dah sijui unishushie tu album mzima [emoji3][emoji3]
Fredy Nelson
Patience 'kila mbongo'
Ecart dou dou

Natanguliz shukran kiongozi [emoji120][emoji120]
 

Attachments

Mkuu ubarikiwe sana sana.
Kama una hizi pia nitashukuru sana
[emoji673]Oxygene
[emoji673]Success extra
[emoji673]Shalai
[emoji673]Denide

Natanguliz shukran kiongozi [emoji120]
 
Mkuu ubarikiwe sana sana.
Kama una hizi pia nitashukuru sana
[emoji673]Oxygene
[emoji673]Success extra
[emoji673]Shalai
[emoji673]Denide

Natanguliz shukran kiongozi [emoji120]
mkuu huo oxygene siyo wimbo ni mmoja ya waimbaji wa Extra musica ya wakati huo
 
mkuu huo oxygene siyo wimbo ni mmoja ya waimbaji wa Extra musica ya wakati huo
Ni kweli mkuu lakini si kuna wimbo ambao ulipewa jina la huyu mwimbaji? Ni kama vile ule wimbo wa Roga Roga au Kila mbongo?
 
Back
Top Bottom