Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Attachments

Mkuu kuna alubamu moja ilitolewa ya ki kongo ilikuwa na nyimbo kali sana ,mimi huwa siijui sana sijui ilikuwa utoto ila kwa juu ilikuwa imeandikwa G7 ,hizo nyimbo nazihitaji sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba wimbo wa
Aiwa maiga halo papa rmx
Na TOT BAND MTOTO MTUKUTU natanguliza shukurani zangu
 
Back
Top Bottom