Unataka Amani ya Moyo Kwenye Mahusiano? Toka na Anayekupenda, na si Unayempenda

Unataka Amani ya Moyo Kwenye Mahusiano? Toka na Anayekupenda, na si Unayempenda

Kwani lengo la kupenda hasa ni lipi katika zama hizi baba ndevu mtoto ndevu
 
Kitu kimoja ambacho mtu anauhakika nacho ni KUPENDA. Issue ya kupendwa ni probability. Hivyo tunatakiwa kupenda sio kutegemea kupendwa. Huwezi kumsemea mtu mwingine ambaye ni independent kuwa anakupenda. Unatakiwa wewe ndio uwe na uhakika kuwa unampenda mtu fulani. Wapenzi wote mkiwa na hii mindset ya kuwa kujumu lenu namba moja ni kupenda na sio kupendwa then automatically mnapendana and love will prevail.
Tatizo linakuja pale kwenye kuoneshana huo upendo kila mmoja ana languge yake! Patamu hapo😅
 
Tatizo linakuja pale kwenye kuoneshana huo upendo kila mmoja ana languge yake! Patamu hapo😅Namna ya kuonesha

Tatizo linakuja pale kwenye kuoneshana huo upendo kila mmoja ana languge yake! Patamu hapo😅
Namna ya kuonesha sio issue sana. What matters ni Kupenda and it's genuinely and pure love.
 
Back
Top Bottom