Unataka kujenga nchi 2020s na unawekeza zaidi kwenye UCHAWA uko sawa?

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,656
Reaction score
3,785
Mambo lazima yagome, huwezi kufanya huu ujinga na tukaulelea hakuna hiyo namna.

Sasa hivi wananchi wa Tanzania wamekosa wawikilishi kabisa kwasababu raisi achallengiwi wenye chochote kila Waziri ni Chawa wake, Kila Naibu waziri ni chawa wake, kila mbunge ni chawa wake, kila diwani ni chawa wake, kila mwenyekiti ni chawa wake, yani kila kiongozi hata wale wa vyuo ni chawa wao.

Mwisho wa siku wanaoongozwa wanakosa mtu wakuwasikiliza, mtu wa kufikisha shida zao na kutatuliwa.

Hatuwezi enda namna hii in the name of kulinda amani za mafisadi na watekaji. Nataka amani kwa kila mTanzania bila kujali chama chake, dni yake, ngozi yake, ama kitu chake chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…