Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo


Hii si mara ya kwanza kusikia hilo, sasa mnapaka vitu ili mwanaume akojoe haraka kwasababu gani?
 
Sijasoma hadi mwisho ila siku mbili mfululizo mwanamke si atachubuka jaman
 
Vumbi gudisha kaka dakika 10 ukisikia ti ti chomoa ingia mzigoni radha ile ile tatz wana mnaweka mavumbi saa zima masaa au nusu sa vumbi ni dakik 12 tu hao ni wenye nguvu tu ingia mzigoni show kama mamba faru dume
 
Baada ya kulala nae hizo siku mbili na hayo madawa yako. Mara kachepuka tena na muuza karanga😟 hiii??.

Hiyo hela ya kununulia hiyo dawa ni bora nikale mbuzi katoliki nitoke kitambi tusichoshane kabisa maisha yenyewe mafupi haya.
 
Mzee kwa iyo hii inakusaidia Hamasaki kwa muda ukihitaji tendo tu kwa hayo masaa uliosema after that tatizo linabakia pale pale I mean haitibu tatizo permanently
 
Mzee kwa iyo hii inakusaidia Hamasaki kwa muda ukihitaji tendo tu kwa hayo masaa uliosema after that tatizo linabakia pale pale I mean haitibu tatizo permanently
Huwez pona tatizo kwa Dawa hizo
 
Nmesoma comment zote page 1 ad 11 natafta jina linaloanzia na S na kuishia na L sjaona
Mleta mada umeikosea sana jamii kwann usitaje jina tu
 
Hivyo vidonge Pharmacy zote kubwa wanavyo vinakua vya 5g, 10g na 15g
Jina lake linaanzia na herufi " S " na kuishia na " L "
maduka mengi huuza Tsh elfu 8- 10,000/= kulingana na ulipo.
Iki uliwahi kuvisikia nikweli hivyo ni habari nyingine.
Umekataa watu wasitumie Viagra, vumbi la Kongo, lakini bado unaongelea Viagra. Kwa taarifa tu ni kwamba Sildenafil ndio hizo hizo Viagra tofauti ipo kwenye grams tu.
 
Sildenafil na Viagra kimsingi ni kitu kimoja. Viagra ni jina la kibiashara la dawa ya Sildenafil, ambayo ni kiambato hai katika dawa hiyo. Kampuni inayozalisha Viagra ndiyo iliyoanzisha jina hilo kama chapa. Kuna pia dawa nyingine za Sildenafil ambazo zinapatikana kwa majina tofauti au kama generics (dawa zisizo na chapa maarufu).

Kwa hiyo, kiufanisi, Sildenafil na Viagra vinafanya kazi sawa katika kuongeza nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo la kutopata uume ulio simama. Ubora hautofautiani kati ya Sildenafil na Viagra, isipokuwa tofauti inaweza kuwa kwenye bei au jina la chapa, lakini si kwenye ufanisi wa dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…