Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Nimeliona hilo na mimi mkuu....jf sikuhizi ni uwe macho tu...Guy ni kama Ontario anatafita vichwa kama unafuatiliza post zake humu utagundua kitu fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatafuta vichwa na ungekuwa unapiga pesa ungekaa kimya upige pesa. Sema unatafuta watu wa kuwatapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga hawajawahi kuisha duniani mkuu,lazima wa kupigwa wapatikane tu.
Usha fuatulia post sa Ontario humu at last watu walilia humu, hakuna mru anaye piga pesa anaye weza kija kueleza watu humu jinsi anavyo pata pesa, Kuna siku utakuja na post ya kulalamika kupigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usha fuatulia post sa Ontario humu at last watu walilia humu, hakuna mru anaye piga pesa anaye weza kija kueleza watu humu jinsi anavyo pata pesa, Kuna siku utakuja na post ya kulalamika kupigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ontario nae alikujaga hvi hvi na tu maneno tutam tutam waja wakaingia vibaya akala vichwa alafu shyaaaaaa, dogo unamiliki nini mpk sasa kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa unamiliki hela nyingi hivyo halafu hata kiinglish hukijui?!Kinge ugonjwa bwana hebu tafsiri hapa
[emoji3516]Dreamz za kua tajili zikishindikana binaadamu hupata uchizi (organised madness)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa unamiliki hela nyingi hivyo halafu hata kiinglish hukijui?!
Mkuu acha kujibu...unapiteza ngv zako bure hapa..utapoteza directions .ww toa vitu kwa kadri Mungu anavyokujalia! Ukumbuke sie tumshauzoea umaskini....!tunaogelea kwenye umaskini wa akili na wapesa bas full stress!
[emoji3516]
MKUU,
WEWE NI #CERTIFIED_HATER!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Mtoa mada mie hua nakuchukulia kwa jicho sensitive sana sana jamani!...niwe mkweli humu jf ww ni no 1 kwangu!...kila nachosoma huwa nakuwa najikumbushia wapi ninafeli wapi niko sawa!sina idea wala passion za online business lakini iko sku ntakuja pm walau tuongee tu kibiashara zaidi!
Waache wakubeze!
Asante san kutukumbusha!
Kitu nilichogundua humu jf ukieleza ulipokuwa ..ulipo na aunapotaka kuelekea unaongeza maadui balaa[emoji1][emoji1]!hakuna anayefurahi...sijui kwann!mwacheni mtoa mada aandike anachoweza kutupa sisi maskini bwana!umaskini unachosha..unazeesha mno jaman...!nimeuchoka
Nakumbuka uliwah ask ushahid uletwe hapa kwa alopigwa na ww wakawa wanaatack tu!khaa binadamu ni kiumbe cha ajabu sana sana jamani