Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Huyu ana elimu ya utambuzi sana..kk ataamua kuifatilia sana mwenyewe atafika mbali sana! Acha nichukue tu mwongozo hapa boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ana elimu ya utambuzi sana..kk ataamua kuifatilia sana mwenyewe atafika mbali sana! Acha nichukue tu mwongozo hapa boss
Yule jamaa aliyekuwa anahituhumu amekimbia sijamuona tena.
Hapa JF ukieleza mambo mazuri watu wanakasirika.
Wanataka uwaambie unavyotaabika. Ulivyokosa vision nk.
Mkuu I will keep doing my thing all day everyday.
Mimi sitendi ubaya wowote kwahiyo nipo hapa kujitetea kama ikihitajika.
Sometime hapa watu ukiwaacha they think wanashinda.
Siyo kwangu.
I’m gonna fight back 🥊
And I don’t care you are big guy or small guy.
Haters wa JF wanisome vizuri.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi binafsi nimekoma[emoji40]!
[emoji1430]
Mkuu mimi sitoweza wavumilia midomo michafu.
Nitawajibu mstari kwa mstari aya kwa aya.
And yes nitaendelea ku-share mambo positive yakujiongezea kipato pia kujifunza kuona maisha katika namna mpya.
I have need so fortunate to experience both sides of life. Poor and rich.
Being poor sucks.
I will NEVER think like poor person.
I choose to be rich.
Yes I’m rich.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...huu msemo ninauongea sana kila siku! Nimeuchoka umaskini...niliwah tengwa mwaka fulan na classmates kisa sio classy yao...iliniuma!...unaona kbs watu wanajadili mi ishu mikubwa kubwa ya pesa[emoji4][emoji4]...wanaamua kuunda group lao..!ile ilinisumbua sana!umaskini jaman unawasha!unanyorota!ahsante Mungu
Wewe wivu ndiyo unakusumbua.
Hapa kuna watu wananiamini no matter what you say they won’t listen.
Unajua kwanini?
Kwasababu I’m giving so much value to people’s lives.
Utapata shida sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Angekiwa anapiga pesa angekaa kimya, hahaa ni sawa na Mo aje humu kifundisha watu jinsi ya kitengeneza juice.
Dogo anatafuta watu na muda si mrefu utasikia post za kulalamika humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu unisumbue kwa freelancer?hahah
Freelancer mzee wa bnb uchwaraaa.
Sasa utakosaje wa kukuamini wkt hata shetani mwenyewe ana wafuasi wake na wanamuamini.
Komaa na self help books unaweza kua guru kwa kuuza maneno ya kutia moyo kwa wenye kuhitaji.
[emoji1430]
Mkuu mimi sitoweza wavumilia midomo michafu.
Nitawajibu mstari kwa mstari aya kwa aya.
And yes nitaendelea ku-share mambo positive yakujiongezea kipato pia kujifunza kuona maisha katika namna mpya.
I have need so fortunate to experience both sides of life. Poor and rich.
Being poor sucks.
I will NEVER think like poor person.
I choose to be rich.
Yes I’m rich.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama wivu haukusumbui shut the f*c up.
You sound fake.
Get the f*c out here.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wenye nazo hawajitangazi tangazi ovyo mafi wewe, pesa inawatangaza, haya kanye ukalaleKama wivu haukusumbui shut the f*c up.
You sound fake.
Get the f*c out here.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umasikini haufai.
Unadhalilisha.
Ukiwa na masikini wenzako unaweza ukaona kawaida tu.
Ila ukiwa unaishi kwenye jamii au na watu waliokulia wenye affluent family utajiona jinsi umasikini ulivyo mbaya.
Jambo zuri ni kwamba unaweza ukawa ni masikini sasa hivi lakini ukiwa unafikiria na kufanya mambo yako kama mtu mwenye utashi wa fedha basi chances are you will make it in life.
Keep your eyes on the prize 🥇
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umasikini haufai.
Unadhalilisha.
Ukiwa na masikini wenzako unaweza ukaona kawaida tu.
Ila ukiwa unaishi kwenye jamii au na watu waliokulia wenye affluent family utajiona jinsi umasikini ulivyo mbaya.
Jambo zuri ni kwamba unaweza ukawa ni masikini sasa hivi lakini ukiwa unafikiria na kufanya mambo yako kama mtu mwenye utashi wa fedha basi chances are you will make it in life.
Keep your eyes on the prize 🥇
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wenye nazo hawajitangazi tangazi ovyo mafi wewe, pesa inawatangaza, haya kanye ukalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani forex ni utepeli? Mbona kuna watu wanapiga mpunga mzuri tu kwenye forex? Forex inafanywa na mabenki makubwa kwa madogo hapa duniani, hedge funds, individuals etc. Hivyo forex sio utapeli ila tu unatakiwa kisoma vizuri na kupractice namna ya kutrade currencies EITHER WEWE MWENYEWE AU NA MTU AMBAYE ANA UZOEFU NA MBINU NZURI ZA KUTRADE SOKO LA FOREX AU INDICES AU STOCKS (SHARES) ETC.ukishasikia make moneyonline, ujue kuna harufu ya utapeli, unafanya biashara na watu huwajui, ndio yale yale ya forex.
Ras simba alikulia pesa yako bure, unaaibika bure mtoto, umeshindaje lkn mkuu.Kuna mdada mmoja kaolewa kwa wenye pesa...yy hana kitu...sasa hvi kinachofanyika wifi namba 1 akijifungua anapostiwa kwenda kumsaidia wifi had apone...ujira anaopewa anapewa kitenge n hela ya mashono[emoji58][emoji58]!hapo kumbuka kaolewa na kaka yao...amekuwa beki 3/kwenye familia ya mumewe!leo hii katoka ukweni kuosha vyombo na kupanga nguo na kunyoosha pasi🤣🤣!
Dingi yangu alinidharau pia...tena ile ya wazi wazi ..akawa ananidis sana sana!
Hata akipiga simu anakuvunja tu moyo...ss hv akipiga simu ananiheshimu amefika hatua anniambia ongea na kaka yako umri unaenda ajitambue..kumbuka alikua ananidis kisa nimeamua kuolewa ..bro amepata Msc bas ile ikawa fimbo ya kunichapa!.. Ananiuliza kbs hapa na hapa umepitaje...!usicheze na umaskini mkuu!unadharaulika had na mbwa!
Mkuu kwani forex ni utepeli? Mbona kuna watu wanapiga mpunga mzuri tu kwenye forex? Forex inafanywa na mabenki makubwa kwa madogo hapa duniani, hedge funds, individuals etc. Hivyo forex sio utapeli ila tu unatakiwa kisoma vizuri na kupractice namna ya kutrade currencies EITHER WEWE MWENYEWE AU NA MTU AMBAYE ANA UZOEFU NA MBINU NZURI ZA KUTRADE SOKO LA FOREX AU INDICES AU STOCKS (SHARES) ETC.
Umeelewa lakini?!Thanks in advance.