Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Ww ambaye unajua kinge unaishi Mars au?...au hujui mm na behaviourst tunataniana sana humu[emoji57]

Mkuu haya majamaa kazi yao ni kuleta bad vibes.

Kwenye amani wanataka watu wavurugane.

Be free na jieleze vyovyote unavyoweza.

Hawa haters leo watapata dawa yao.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wewe...umenifanya niusome uzi tena, ila ukinifanyia summary nitaelewa zaidi,
Habari ya wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tuu hukusoma wote! Haiwezekani umalize then ucomment wa pili!!

Sijambo mimi jamani!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tuu hukusoma wote! Haiwezekani umalize then ucomment wa pili!!

Sijambo mimi jamani!
😂😂😂😂 ila leo umeniweza sana mana uzi niliuona mchana kabla sijausoma nikawa na distraction kidogo, nikaona niuweke alama baadae nikipata mda niupitie loh! ndo nikauacha moja kwa moja mh.. asante kwa kunikumbusha, mambo ni mengi kweli.🙏🙏🙏🙏
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila leo umeniweza sana mana uzi niliuona mchana kabla sijausoma nikawa na distraction kidogo, nikaona niuweke alama baadae nikipata mda niupitie loh! ndo nikauacha moja kwa moja mh.. asante kwa kunikumbusha, mambo ni mengi kweli.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kama umeumaliza nafurahi mimi jamani!!
 
Back
Top Bottom