Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Yule jamaa aliyekuwa anahituhumu amekimbia sijamuona tena.

Hapa JF ukieleza mambo mazuri watu wanakasirika.

Wanataka uwaambie unavyotaabika. Ulivyokosa vision nk.

Mkuu I will keep doing my thing all day everyday.

Mimi sitendi ubaya wowote kwahiyo nipo hapa kujitetea kama ikihitajika.

Sometime hapa watu ukiwaacha they think wanashinda.

Siyo kwangu.

I’m gonna fight back 🥊

And I don’t care you are big guy or small guy.

Haters wa JF wanisome vizuri.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mimi binafsi nimekoma😷!
 
Mimi binafsi nimekoma[emoji40]!

[emoji1430]

Mkuu mimi sitoweza wavumilia midomo michafu.

Nitawajibu mstari kwa mstari aya kwa aya.

And yes nitaendelea ku-share mambo positive yakujiongezea kipato pia kujifunza kuona maisha katika namna mpya.

I have need so fortunate to experience both sides of life. Poor and rich.

Being poor sucks.

I will NEVER think like poor person.

I choose to be rich.

Yes I’m rich.

😅😅😅😅...huu msemo ninauongea sana kila siku! Nimeuchoka umaskini...niliwah tengwa mwaka fulan na classmates kisa sio classy yao...iliniuma!...unaona kbs watu wanajadili mi ishu mikubwa kubwa ya pesa😊😊...wanaamua kuunda group lao..!ile ilinisumbua sana!umaskini jaman unawasha!unanyorota!ahsante Mungu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...huu msemo ninauongea sana kila siku! Nimeuchoka umaskini...niliwah tengwa mwaka fulan na classmates kisa sio classy yao...iliniuma!...unaona kbs watu wanajadili mi ishu mikubwa kubwa ya pesa[emoji4][emoji4]...wanaamua kuunda group lao..!ile ilinisumbua sana!umaskini jaman unawasha!unanyorota!ahsante Mungu

Umasikini haufai.

Unadhalilisha.

Ukiwa na masikini wenzako unaweza ukaona kawaida tu.

Ila ukiwa unaishi kwenye jamii au na watu waliokulia wenye affluent family utajiona jinsi umasikini ulivyo mbaya.

Jambo zuri ni kwamba unaweza ukawa ni masikini sasa hivi lakini ukiwa unafikiria na kufanya mambo yako kama mtu mwenye utashi wa fedha basi chances are you will make it in life.

Keep your eyes on the prize 🥇

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe wivu ndiyo unakusumbua.

Hapa kuna watu wananiamini no matter what you say they won’t listen.

Unajua kwanini?

Kwasababu I’m giving so much value to people’s lives.

Utapata shida sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Wivu unisumbue kwa freelancer?hahah

Freelancer mzee wa bnb uchwaraaa.

Sasa utakosaje wa kukuamini wkt hata shetani mwenyewe ana wafuasi wake na wanamuamini.

Komaa na self help books unaweza kua guru kwa kuuza maneno ya kutia moyo kwa wenye kuhitaji.
 
Angekiwa anapiga pesa angekaa kimya, hahaa ni sawa na Mo aje humu kifundisha watu jinsi ya kitengeneza juice.

Dogo anatafuta watu na muda si mrefu utasikia post za kulalamika humu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mtu alishawahi kumuanzishia mada akilalamika jamaa amempiga hela akimdanganya atamtengenezea drop shipping websites.
 
Wivu unisumbue kwa freelancer?hahah

Freelancer mzee wa bnb uchwaraaa.

Sasa utakosaje wa kukuamini wkt hata shetani mwenyewe ana wafuasi wake na wanamuamini.

Komaa na self help books unaweza kua guru kwa kuuza maneno ya kutia moyo kwa wenye kuhitaji.

Kama wivu haukusumbui shut the f*c up.

You sound fake.

Get the f*c out here.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji1430]

Mkuu mimi sitoweza wavumilia midomo michafu.

Nitawajibu mstari kwa mstari aya kwa aya.

And yes nitaendelea ku-share mambo positive yakujiongezea kipato pia kujifunza kuona maisha katika namna mpya.

I have need so fortunate to experience both sides of life. Poor and rich.

Being poor sucks.

I will NEVER think like poor person.

I choose to be rich.

Yes I’m rich.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Usisahau kuweka reference hii misemo yako uliitoa kwa guru yupi,hahah.

Matajiri wetu wa JF bana
 
Kama wivu haukusumbui shut the f*c up.

You sound fake.

Get the f*c out here.

Sent from my iPhone using JamiiForums

So do I.

Hahah arselicker wanakuaga na shida sana.

Vipi milionea wa JF leo hujapata kazi ya kutafsiri kiswahili kwenda kiingereza?
 
Umasikini haufai.

Unadhalilisha.

Ukiwa na masikini wenzako unaweza ukaona kawaida tu.

Ila ukiwa unaishi kwenye jamii au na watu waliokulia wenye affluent family utajiona jinsi umasikini ulivyo mbaya.

Jambo zuri ni kwamba unaweza ukawa ni masikini sasa hivi lakini ukiwa unafikiria na kufanya mambo yako kama mtu mwenye utashi wa fedha basi chances are you will make it in life.

Keep your eyes on the prize 🥇

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kuna mdada mmoja kaolewa kwa wenye pesa...yy hana kitu...sasa hvi kinachofanyika wifi namba 1 akijifungua anapostiwa kwenda kumsaidia wifi had apone...ujira anaopewa anapewa kitenge n hela ya mashono😑😑!hapo kumbuka kaolewa na kaka yao...amekuwa beki 3/kwenye familia ya mumewe!leo hii katoka ukweni kuosha vyombo na kupanga nguo na kunyoosha pasi🤣🤣!
Dingi yangu alinidharau pia...tena ile ya wazi wazi ..akawa ananidis sana sana!
Hata akipiga simu anakuvunja tu moyo...ss hv akipiga simu ananiheshimu amefika hatua anniambia ongea na kaka yako umri unaenda ajitambue..kumbuka alikua ananidis kisa nimeamua kuolewa ..bro amepata Msc bas ile ikawa fimbo ya kunichapa!.. Ananiuliza kbs hapa na hapa umepitaje...!usicheze na umaskini mkuu!unadharaulika had na mbwa!
Umasikini haufai.

Unadhalilisha.

Ukiwa na masikini wenzako unaweza ukaona kawaida tu.

Ila ukiwa unaishi kwenye jamii au na watu waliokulia wenye affluent family utajiona jinsi umasikini ulivyo mbaya.

Jambo zuri ni kwamba unaweza ukawa ni masikini sasa hivi lakini ukiwa unafikiria na kufanya mambo yako kama mtu mwenye utashi wa fedha basi chances are you will make it in life.

Keep your eyes on the prize 🥇

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wenye nazo hawajitangazi tangazi ovyo mafi wewe, pesa inawatangaza, haya kanye ukalale

Sent using Jamii Forums mobile app

You are too dumb to hold a conversation with me.

Wewe hata ufanye nini huwezi nizuia mimi.

I will be here all day everyday.

You have to accept that.

Otherwise go and hung yourself in shame.

Stupid

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ukishasikia make moneyonline, ujue kuna harufu ya utapeli, unafanya biashara na watu huwajui, ndio yale yale ya forex.
Mkuu kwani forex ni utepeli? Mbona kuna watu wanapiga mpunga mzuri tu kwenye forex? Forex inafanywa na mabenki makubwa kwa madogo hapa duniani, hedge funds, individuals etc. Hivyo forex sio utapeli ila tu unatakiwa kisoma vizuri na kupractice namna ya kutrade currencies EITHER WEWE MWENYEWE AU NA MTU AMBAYE ANA UZOEFU NA MBINU NZURI ZA KUTRADE SOKO LA FOREX AU INDICES AU STOCKS (SHARES) ETC.
 
Kuna mdada mmoja kaolewa kwa wenye pesa...yy hana kitu...sasa hvi kinachofanyika wifi namba 1 akijifungua anapostiwa kwenda kumsaidia wifi had apone...ujira anaopewa anapewa kitenge n hela ya mashono[emoji58][emoji58]!hapo kumbuka kaolewa na kaka yao...amekuwa beki 3/kwenye familia ya mumewe!leo hii katoka ukweni kuosha vyombo na kupanga nguo na kunyoosha pasi🤣🤣!
Dingi yangu alinidharau pia...tena ile ya wazi wazi ..akawa ananidis sana sana!
Hata akipiga simu anakuvunja tu moyo...ss hv akipiga simu ananiheshimu amefika hatua anniambia ongea na kaka yako umri unaenda ajitambue..kumbuka alikua ananidis kisa nimeamua kuolewa ..bro amepata Msc bas ile ikawa fimbo ya kunichapa!.. Ananiuliza kbs hapa na hapa umepitaje...!usicheze na umaskini mkuu!unadharaulika had na mbwa!
Ras simba alikulia pesa yako bure, unaaibika bure mtoto, umeshindaje lkn mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani forex ni utepeli? Mbona kuna watu wanapiga mpunga mzuri tu kwenye forex? Forex inafanywa na mabenki makubwa kwa madogo hapa duniani, hedge funds, individuals etc. Hivyo forex sio utapeli ila tu unatakiwa kisoma vizuri na kupractice namna ya kutrade currencies EITHER WEWE MWENYEWE AU NA MTU AMBAYE ANA UZOEFU NA MBINU NZURI ZA KUTRADE SOKO LA FOREX AU INDICES AU STOCKS (SHARES) ETC.

Mkuu hawa wajinga hawawezi elewa hata iwe vipi.

Ni kwamba wameamua kuwa haters tu.

They are so annoying.

Hawataki mtu uongelee kitu kipya kwa uhuru.

Ukifanya hivyo wanasema unajaribu kuibia watu.

Mbona hawasemi walienda shule wakatoa pesa ndefu na kazi hawajapata?

Hii mentality inazuia sana watu wenye mambo mazuri ku-share kwasababu watu lazima wakushambulie.

Binafsi mimi siwaopogi.

Ukweli utajidhihirisha tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom