Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Mimi katika kuzisaka hela huwa nasimamia verse hii kutoka katika bible of Thomas(yule alietaka kujua kama aliefufuka ni Yesu kweli) na verse yenyewe inasema hivi:

(2)Jesus said, "Let him who seeks continue seeking until he finds. When he finds, he will become troubled. When he becomes troubled, he will be astonished, and he will rule over the All."
 
Mkuu unatafuta vichwa na ungekuwa unapiga pesa ungekaa kimya upige pesa. Sema unatafuta watu wa kuwatapeli

Sent using Jamii Forums mobile app

You are wasting your time you dumb.

I’m stronger than you can ever imagine.

Haya maneno yako ni ujinga tu kwangu.

Jiandae na post nyingine baada ya siku chache.

You see?

Hauwezi nifanya chochote.

Mimi ni clean kama theluji.

Hapa nimetoka kufanya webinar na wana JF zaidi ya 50.

Don’t you ask yourself why?

The more you hate the more people get attracted to me.

Haya lete pumba nyingine hapa.

I’m waiting.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wajinga hawajawahi kuisha duniani mkuu,lazima wa kupigwa wapatikane tu.

Wewe wivu ndiyo unakusumbua.

Hapa kuna watu wananiamini no matter what you say they won’t listen.

Unajua kwanini?

Kwasababu I’m giving so much value to people’s lives.

Utapata shida sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usha fuatulia post sa Ontario humu at last watu walilia humu, hakuna mru anaye piga pesa anaye weza kija kueleza watu humu jinsi anavyo pata pesa, Kuna siku utakuja na post ya kulalamika kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona ume-panic kisa dada hapo amesema vitu ninavyoandika vinampatia value.

Mkuu nenda kajinyonge hasira ziishe.

Ulitegemea anishutumu kama wewe unavyofanya?

Your hatred is killing you from inside.

Wewe huna ubavu wakunizuia mimi.

You don’t trust me?

Nitakuwa hapa all day everyday.

What you gonna to about that?

Kill yourself?




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usha fuatulia post sa Ontario humu at last watu walilia humu, hakuna mru anaye piga pesa anaye weza kija kueleza watu humu jinsi anavyo pata pesa, Kuna siku utakuja na post ya kulalamika kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Nusome tena...mm sina passion na biashara za online...hawez nipiga mtu !kila mtu na upeo wake...kuna sehemu mtu anakua weak...huyu mir namuona anatukumbusha kwa wale tunaojua ..na anawafundisha kwa wale waliokua hawajui...ndo maana nikasrma mie huwa namwangalia km mtu smart...!simwangalii kwa jicho lako hata siku moja mkuu! Endelea kujifariji tu ww hapo!
 
Ontario nae alikujaga hvi hvi na tu maneno tutam tutam waja wakaingia vibaya akala vichwa alafu shyaaaaaa, dogo unamiliki nini mpk sasa kijana

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kiherehere.

Huyo Ontario wewe kakuibia nini?

Unaweza weka ushahidi hapa au ni ujinga ujinga tu?

Stop being a hater.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani mbon kuna uzi ule wa kama unapata hela zaidi ya 30000 pita hapa watu wamefunguka jinsi wanavyipiga hizo hela??..kama yule kibamia bajaji sijui alisema daily anamake malaki mengi hv yule sio tajiri🤔!
Mbona wengi tu wanafunguka jinsi wanavyopata hela au hao nao wapigaji😊😊!kwakweli safari bado ni ndefu . kuna mtu last two wks humu alisema watz tushauzoea umaskini its very true!tuko kwenye giza totoro balaa!
Mngekuww mnajaribu kusoma btn lines..nyie mnasoma km hadithi...mm niamshe usk niulize nan unapenda alivyo jf huyu dogo ni no1!
 
Mkuu sasa unamiliki hela nyingi hivyo halafu hata kiinglish hukijui?!

Hhahaa naombea iwe hvyo mkuu !nawish sana yaan!sjamiliki hela mob dude ila nnaziona somewhr....kuna michirizi naiona..nimtafte kwa ras Simba anipe ratiba!
 
Mkuu acha kujibu...unapiteza ngv zako bure hapa..utapoteza directions .ww toa vitu kwa kadri Mungu anavyokujalia! Ukumbuke sie tumshauzoea umaskini....!tunaogelea kwenye umaskini wa akili na wapesa bas full stress!

Hawa watu waajabu sana mkuu.

Mimi sijawakosea kwa lolote.

Wanaamua tu kuwa haters.

Ila uzuri mimi siwaopogi.

Nawapiga nyundo za kichwa tu kwa yeyote atakayekuja mbele yangu.

I have no fear. Only ambition [emoji1431]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji3516]
MKUU,

WEWE NI #CERTIFIED_HATER!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app


Kitu nilichogundua humu jf ukieleza ulipokuwa ..ulipo na aunapotaka kuelekea unaongeza maadui balaa😄😄!hakuna anayefurahi...sijui kwann!mwacheni mtoa mada aandike anachoweza kutupa sisi maskini bwana!umaskini unachosha..unazeesha mno jaman...!nimeuchoka
 
Mtoa mada mie hua nakuchukulia kwa jicho sensitive sana sana jamani!...niwe mkweli humu jf ww ni no 1 kwangu!...kila nachosoma huwa nakuwa najikumbushia wapi ninafeli wapi niko sawa!sina idea wala passion za online business lakini iko sku ntakuja pm walau tuongee tu kibiashara zaidi!


Waache wakubeze!
Asante san kutukumbusha!
MKUU,
NAONA UNATAKA KUCHUKUA MWONGOZO KUTOKA KWA MWANA HAPA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu nilichogundua humu jf ukieleza ulipokuwa ..ulipo na aunapotaka kuelekea unaongeza maadui balaa[emoji1][emoji1]!hakuna anayefurahi...sijui kwann!mwacheni mtoa mada aandike anachoweza kutupa sisi maskini bwana!umaskini unachosha..unazeesha mno jaman...!nimeuchoka

[emoji817]

Siongezei kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka uliwah ask ushahid uletwe hapa kwa alopigwa na ww wakawa wanaatack tu!khaa binadamu ni kiumbe cha ajabu sana sana jamani

Yule jamaa aliyekuwa anahituhumu amekimbia sijamuona tena.

Hapa JF ukieleza mambo mazuri watu wanakasirika.

Wanataka uwaambie unavyotaabika. Ulivyokosa vision nk.

Mkuu I will keep doing my thing all day everyday.

Mimi sitendi ubaya wowote kwahiyo nipo hapa kujitetea kama ikihitajika.

Sometime hapa watu ukiwaacha they think wanashinda.

Siyo kwangu.

I’m gonna fight back 🥊

And I don’t care you are big guy or small guy.

Haters wa JF wanisome vizuri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom