Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

wa kupuliza,
Nilitaka sema hili...huyu jamaa content zake kama ontario..halafu kana waumini wake wa kuingiza wengine king......kuna msemo wanasema ukiona unaitwa kwe fursa ujue we ndo fursa...najua program inayofuata kiingilio dollar 100 ah ah
 
Hahah mkuu wewe unayo exposure ya kutosha ndio maana umegundua mapema janja ya huyu jamaa baada ya hio anayoita free training blah blah blah,lkn subiri jamaa aje mwenyewe hapa ataanza kukwambia wewe ni certified hater unamchukia yeye milionea.
 
Naona unatetea id yako kwa nguvu zote huku unaandika hivi na id nyingine unakuja kujisifia.Anguko lako ni kubwa kuliko mnara wa babeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wewe rich one wa tmk halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa Self book na maisha ya mtu yameanza maisha...hivyo vitabu bimeandikwa kutokana na watu wanavyoishi iweje mtu aandike maisha harisi useme vitabu Je kitabu na mtu kilianza nini.

IDIOT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga huws hawaishagi ndo maana umewaacha ndugu zako kuwafundisha kupiga hela umekuja kutafuta misukule jf kuwapiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa Self book na maisha ya mtu yameanza maisha...hivyo vitabu bimeandikwa kutokana na watu wanavyoishi iweje mtu aandike maisha harisi useme vitabu Je kitabu na mtu kilianza nini.

IDIOT

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe huyo ambae inakuchukua mwaka 1 mzima kuipata 1.5mil ndio unataka kunishauri kuhusu Maisha na struggles sio?

Pussssy.
 
Garyvee anapiga ana hisa kwenye kampuni kubwa duniani na anaeleza watu mtandaoni, Mafiruki anaeleza, Trump anaeleza, Kiyosaki anaeleza.

Umetosheka

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hawa wajinga wajinga mimi nawapiga nyundo za kichwa lazima waweweseke.

Hawasaidii chochote hapa.

Zaidi uzi wangu unapata zaidi views kwakusomwa na watu wengi.

And guess what?

Pamoja na negative comments zao still watu wema ninaendelea kuwasiliana nao iwe pm au kwenye Email yangu.

They make me SUPERSTAR

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na kadharau unako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…