Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ila kumbuka pia kuna multiple IDs.
Ukiona thread yenye contact chini, wakati mwanzisha forum alijua mapema na akaweka pm, basi ujue wewe ndio dili.
Ila mi nilipenda, hawa motivational speakers waje na ushahidi au list ya ndugu zao waliofaidika na ushauri wao.
Wasiwe kama wanasiasa kutushauri tuandamane wakati wao na familia zao wanasubiri kuangalia virungu kupitia live streaming za youtube na tv wakiwa majumbani mwao.
Sounds interesting, unaweza fungua mada uelezee vizuriINVESTOR NEEDED,
IDEA: a video marketing agency,..
Amount needed: $1500 (3M)
ESTIMATED REVENUE : $500-$1000 to start with per month
FAIDA YA MWEKEZAJI: 500K (LAKI 5) per month.. For a year, kadri tutakavyosign makubaliano
Ukihitaji maelezo zaidi ntakutumia detailed description of the business PM me or text 0713626525
View attachment 1293733
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Right si vijana wa kibongo hatujatest jambo lakin tayari tushaliweka upande wa negative na kufananisha na mawazo au watu wengineJamani mbon kuna uzi ule wa kama unapata hela zaidi ya 30000 pita hapa watu wamefunguka jinsi wanavyipiga hizo hela??..kama yule kibamia bajaji sijui alisema daily anamake malaki mengi hv yule sio tajiri[emoji848]!
Mbona wengi tu wanafunguka jinsi wanavyopata hela au hao nao wapigaji[emoji4][emoji4]!kwakweli safari bado ni ndefu . kuna mtu last two wks humu alisema watz tushauzoea umaskini its very true!tuko kwenye giza totoro balaa!
Mngekuww mnajaribu kusoma btn lines..nyie mnasoma km hadithi...mm niamshe usk niulize nan unapenda alivyo jf huyu dogo ni no1!
Upo Right si vijana wa kibongo hatujatest jambo lakin tayari tushaliweka upande wa negative na kufananisha na mawazo au watu wengine
Hili giza tutaliaa sana kuhusu ajira sanaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu kaamua kutuamsha tulioalla bure kbs! ..sema sio lazima wote tuwe succesful!...
Ontario aliwaamusha hivyo hivyo mwisho wa siku watu walilia humu. By the way bado hii Dunia unasubili Booster ndo uamke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu kaamua kutuamsha tulioalla bure kbs! ..sema sio lazima wote tuwe succesful!...
Nafikiri hii ni thread yangu BORA kabisa ya mwaka huu, thanks sana mkuu UBARIKIWE!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo business plan unazoziandika kwa elfu 20 tu, basi zitakuwa na "errors" nyingi sana.Elewa Self book na maisha ya mtu yameanza maisha...hivyo vitabu bimeandikwa kutokana na watu wanavyoishi iweje mtu aandike maisha harisi useme vitabu Je kitabu na mtu kilianza nini.
IDIOT
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekiwa anapiga pesa angekaa kimya, hahaa ni sawa na Mo aje humu kifundisha watu jinsi ya kitengeneza juice.
Dogo anatafuta watu na muda si mrefu utasikia post za kulalamika humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah mkuu hakunaga tajiri ana muda wa kupiga bla bla bla za jinsi alivyopata pesa huku mitandaoni,Ontario alishawanyoosha lkn hawakuelewa somo vzr sana.
Mimi katika kuzisaka hela huwa nasimamia verse hii kutoka katika bible of Thomas(yule alietaka kujua kama aliefufuka ni Yesu kweli) na verse yenyewe inasema hivi:
(2)Jesus said, "Let him who seeks continue seeking until he finds. When he finds, he will become troubled. When he becomes troubled, he will be astonished, and he will rule over the All."
GLOBAL CITIZEN, Dreamz za kua tajili zikishindikana binaadamu hupata uchizi (organised madness)
Sent using Jamii Forums mobile app
Garyvee anapiga ana hisa kwenye kampuni kubwa duniani na anaeleza watu mtandaoni, Mafiruki anaeleza, Trump anaeleza, Kiyosaki anaeleza.
Umetosheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sitaki kuamini kua tumekua addicted na u binafsi kiasi ambacho tunaamini mtu akiwa anapiga pesa huwezi kumshtua mwenzie kua "aisee mambo iko huku" huwezi kumshika mwenzie mkono tutoke wote kwenye dimbwi hili la umasikini. Halafu kingine hili darasa au elimu aliyoitangaza hapa mkuu GLOBAL CITIZEN ni darasa la bure hulipii chochote sasa kama kupigwa pesa unapigwaje hapa? Nadhani si jambo sahihi kuwatisha wenye nia ya kujifunza kufanya hivyo. Kama wewe hutaki hiyo ni sawa na una uhuru kabisa wa kuchagua kujifunza au kutokujifunza lakini hili la kuwa - distract wanafunzi wengine wenye nia ya kujifunza hili si sawa. KNOWLEDGE IS POWER!.
Sent using Jamii Forums mobile app