Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Unataka pesa? Mbona huoneshi kama kweli unazitaka?

Ila mi nilipenda, hawa motivational speakers waje na ushahidi au list ya ndugu zao waliofaidika na ushauri wao.

Wasiwe kama wanasiasa kutushauri tuandamane wakati wao na familia zao wanasubiri kuangalia virungu kupitia live streaming za youtube na tv wakiwa majumbani mwao.
 
While you here talking about me, calling me names.

I’m working hard. I’m taking things to the next level [emoji817]

You keep gossiping and I will keep working.

Najua haters mnachukia sana.

Mbaya zaidi hamuwezi kufanya lolote.

Hapa ndiyo inawasumbua.

I won’t STOP posting on JF.

I’m focused [emoji817]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akikujibu nitaarifu
Ila mi nilipenda, hawa motivational speakers waje na ushahidi au list ya ndugu zao waliofaidika na ushauri wao.

Wasiwe kama wanasiasa kutushauri tuandamane wakati wao na familia zao wanasubiri kuangalia virungu kupitia live streaming za youtube na tv wakiwa majumbani mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INVESTOR NEEDED,

IDEA: a video marketing agency,..
Amount needed: $1500 (3M)

ESTIMATED REVENUE : $500-$1000 to start with per month

FAIDA YA MWEKEZAJI: 500K (LAKI 5) per month.. For a year, kadri tutakavyosign makubaliano

Ukihitaji maelezo zaidi ntakutumia detailed description of the business PM me or text 0713626525
View attachment 1293733

Sent using Jamii Forums mobile app
Sounds interesting, unaweza fungua mada uelezee vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mbon kuna uzi ule wa kama unapata hela zaidi ya 30000 pita hapa watu wamefunguka jinsi wanavyipiga hizo hela??..kama yule kibamia bajaji sijui alisema daily anamake malaki mengi hv yule sio tajiri[emoji848]!
Mbona wengi tu wanafunguka jinsi wanavyopata hela au hao nao wapigaji[emoji4][emoji4]!kwakweli safari bado ni ndefu . kuna mtu last two wks humu alisema watz tushauzoea umaskini its very true!tuko kwenye giza totoro balaa!
Mngekuww mnajaribu kusoma btn lines..nyie mnasoma km hadithi...mm niamshe usk niulize nan unapenda alivyo jf huyu dogo ni no1!
Upo Right si vijana wa kibongo hatujatest jambo lakin tayari tushaliweka upande wa negative na kufananisha na mawazo au watu wengine
Hili giza tutaliaa sana kuhusu ajira sanaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am a narcotics dealer,angry and confused why people prefer my neighbour's marijuana than mine,something must be done
 
Mkuu, sitaki kuamini kua tumekua addicted na u binafsi kiasi ambacho tunaamini mtu akiwa anapiga pesa huwezi kumshtua mwenzie kua "aisee mambo iko huku" huwezi kumshika mwenzie mkono tutoke wote kwenye dimbwi hili la umasikini. Halafu kingine hili darasa au elimu aliyoitangaza hapa mkuu GLOBAL CITIZEN ni darasa la bure hulipii chochote sasa kama kupigwa pesa unapigwaje hapa? Nadhani si jambo sahihi kuwatisha wenye nia ya kujifunza kufanya hivyo. Kama wewe hutaki hiyo ni sawa na una uhuru kabisa wa kuchagua kujifunza au kutokujifunza lakini hili la kuwa - distract wanafunzi wengine wenye nia ya kujifunza hili si sawa. KNOWLEDGE IS POWER!.
Angekiwa anapiga pesa angekaa kimya, hahaa ni sawa na Mo aje humu kifundisha watu jinsi ya kitengeneza juice.

Dogo anatafuta watu na muda si mrefu utasikia post za kulalamika humu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi ya Ontario humu imewafanya watu wakiguswa na nyasi hushtuka kutokana na experience ya kung'atwa na nyoka. It's alright kuchukua tahadhari lakini mi najua sababu iliowafanya wengi kupoteza pesa zao kwenye forex kwa mkuu Ontario ni kutaka ku- Earn before to Learn. Walikua wanavutwa na pesa badala ya process on how wangepata pesa through forex. Na walianza investment even before hawajawa matured in knowledge about the business.
Hebu tusiwatishe wanaotaka kujifunza kwa mkuu GLOBAL CITIZEN, badala yake tuwape tahadhari kua nenda kujifunze, take your time to understand the game (no need to hurry kwani unakimbilia wapi?) do your own research kuhakikisha ulichofundishwa ndivyo kilivyo? (kila kitu kiko mtandaoni sasa hivi) utakapojiridhisha ndipo unaweza kuwekeza fedha zako ukiwa na uelewa wa kutosha ni nini unafanya!
Hahahah mkuu hakunaga tajiri ana muda wa kupiga bla bla bla za jinsi alivyopata pesa huku mitandaoni,Ontario alishawanyoosha lkn hawakuelewa somo vzr sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu gani hiki? Chapter na verse if possible please!
Mimi katika kuzisaka hela huwa nasimamia verse hii kutoka katika bible of Thomas(yule alietaka kujua kama aliefufuka ni Yesu kweli) na verse yenyewe inasema hivi:

(2)Jesus said, "Let him who seeks continue seeking until he finds. When he finds, he will become troubled. When he becomes troubled, he will be astonished, and he will rule over the All."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kote huko mbali, akina marehemu Ruge walikua wanazunguka nchi nzima hii kuwaelezea watu kuhusu fursa na wanaendelea kufanya hivyo, akina mzee mengi wametuachia mpaka na kitabu sijui anataka kutuambia nini huyu kiumbe!
Garyvee anapiga ana hisa kwenye kampuni kubwa duniani na anaeleza watu mtandaoni, Mafiruki anaeleza, Trump anaeleza, Kiyosaki anaeleza.

Umetosheka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona tajiri anatangaza fursa rahisi kama hizi, afundishe bure kama nani?
Anafadhiliwa?
Muda anaoupoteza atalipwa na taasisi gani.
Hii insitwa mpe mbwa mfupa wenye sumu ummalize.
Huwa inaanza bure, mwendelezo wake ndipo unapigwa.
Ujue wewe ndiye fursa yake

Back
Top Bottom