Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

ungeshea hiyo plan ya kula
 
Yeap,
Ratiba yako kama ya kwangu isipokuwa tunatofautiana aina ya mazoezi. Naamka saa 11 kasorobo, naruka kamba hata idadi simaindi sana, napiga push ups 100 daily (arobaini, napumzika, 30 namalizia 30). nasukuma kitairi mara 60 daily (round moja 10). Nanyosha viungo kasha natamatisha mazoezi. Niko fiti sitaki kuwa slim na sitaki kitambi ila niko fiti mwili hauna mabonde mabonde. Mazoezi ni raha kushinda unywaji wa pombe
 
Haya mazoezi nimefanya sana lakini tumbo halikubali kuwa flat hata kidogo zaidi linakuwa gumu sana kwa ndani.
Kaka/dada kumbuka fitness sio kuwa slim. unaweza fanya mazoezi ukawa fiti na usiwe slim, lakini kama unafanya mazoezi stahili huwezi kuwa na tumbo la kizembe (yaani ukitembea linatepeta) bali linakuwa gumu na unaweza kukimbia au kufanya kazi nzito au kunyanyua vitu vizito bila kusikia maumivu ya tumbo
 
Safi sana mkuu
 
Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym
 
Chukua chupa la lita 1.5 la Kilimanjaro jaza mchanga,then uwe unalirusha mbele nyuma,nyuma mbele..kama unasukuma bembea sio kurusha udake[emoji3]
Au piga ngumi hewani...
Ok thanks. Hii ya ngumi huwa nafanya sema si kila siku sababu ya muda
 
Mkuu hii unaweza kuipiga ukiwa peke yako? Yaani kila nikipiga najikuta nasogea ila wife akinishika mguu kwenye vidole kwa kukandamiza chini, hua nalala na kunyanyuka kwa wepesi sana na kwa harakaharaka. Vipi kuna njia ya kupiga nikiwa mwenyewe?
 
Mimi hua napitisha miguu chini ya meza au kitanda.
Njia nyingine hua badala ya miguu kuikunja karibu hua naisogeza mbele, kwahiyo magoti yanakua hayana muonekano wa muinuko mkali sana.
 
mkuu reps maana yake nini?
Mfano unafanya sit ups, kile kitendo cha kunyanyua mwili na kuurudisha pale ulipoanzia ndiyo kinaitwa rep, zikiwa nyingi ndiyo reps.

Ni kama mdau alivyokwambia hapo juu.

Pia Ni kifupi cha repetitions.
 
Mfano unafanya sit ups, kile kitendo cha kunyanyua mwili na kuurudisha pale ulipoanzia ndiyo kinaitwa rep, zikiwa nyingi ndiyo reps.

Ni kama mdau alivyokwambia hapo juu.

Pia Ni kifupi cha repetitions.
asante sana mkuu ila hii Crunches imenishinda kuinuka
 
asante sana mkuu ila hii Crunches imenishinda kuinuka
Ni ngumu au haujaielewa?
Hua nahisi hii ndiyo nyepesi kushinda zote.

Ila jitahidi kupiga hata tano zikiwa perfect utakua ukiongeza kidogo kidogo.
 
The same here but sasa hivi yameshaachia
 
Six packs yataka moyo sana mpaka kuzipata especially ukiwa unafanya mazoezi kwenye kagym kako ka maskani....
Njia ya haraka ya kupata hizi kitu ni kupiga zoezi la V...
 
Six packs yataka moyo sana mpaka kuzipata especially ukiwa unafanya mazoezi kwenye kagym kako ka maskani....
Njia ya haraka ya kupata hizi kitu ni kupiga zoezi la V...
Hahahaha mkuu mbona mazoezi ya six packs ni miongoni mwa yanayoweza kufanyika nyumbani? Yaani siyo lazima uwe na vifaa vya gym ili upate unachotaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…