Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

Kuna kitu umesahau wewe...hata muwe na urafiki wa aina gani mkikaa karibu hivyo kati yenu mmoja wenu lazma atakula mke wa mwenzie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

Asilimia kubwa ya ma best walioshibana lazma mmoja huwaga anakula demu au mke wa mwenzie kama wataleta mazoea yao mpk kwenye familia...

Hii inakuwaga siri kubwa sana ambayo aliyechapiwa inakuwaga nadra sana kugundua na hudumu mpaka mwisho wa uhai wenu au urafiki wenu ukijua ni bahati tu,CHUNGUZENI SANA HILI

USHAURI WANGU,HAIJALISHI WEWE NA RAFIKI YAKO MMESHIBANA VP USIMWAMINI AKAZOEANA NA MKE WAKO KAMA WEWE ULIVYOZOEANA NAE,SITUATION HIZO SHETANI HUWAGA AKAAGI MBALI NA HASHINDWAGI KUFANYA JAMBO...NIMEANDIKA HIVI KWASABABU NIMEPATA KUSHUHUDIA HAYO MAMBO KWENYE COUPLE KADHAA ZA VIJANA NA WATU WAZIMA MARAFIKI ZAO WANAWAZUNGUKA SANA KWA WAKE ZAO ...

HATA MIMI ILINITOKEA JAMAA YANGU TULIESHIBANA SANA ALIWAHI KUTEMBEA NA GIRLFRIEND WANGU NILIYEMPENDA SANA KIPINDI MIMI NIPO MASOMONI NJE YA TZ 2014. NA HUYO JAMAA NA DEMU HAWAJUI KAMA MIMI NILIJUA WALIVYONISALITI WAKATI MIMI SIPO JAPO WALIJITAHIDI SANA KUFANYA HAYO MAMBO KWA SIRI SANA WAKATI SIPO ILA MUNGU KAAMUA YA KWAMBA LAZMA NIJUE HILO JAMBO..nashukuru hakuwa mke.

JAMAA NIMESHAMSHUASHA NA VYEO VILE VYA UBEST SI KAMA TULIVYOKUWA ZAMANI,LAKINI BADO HAJAJUA SABABU YA MIMI KUMPOTEZEA...na demu kashaolewa na jamaa mwingine(uzuri hajafa mtu katika hili tukio[emoji16][emoji16][emoji16])NA MAISHA YANAENDA VYEMA KWA SASA KWA KILA MMOJA WETU...na itachukua miaka mingi kidogo mbele kuja kuwaambia hawa washenzz kwamba nilijua walivyonitenda 2014(WEKA MBALI WIFE NA HAO TUNAOWAITA FRIENDS INDEED)
 
Is marriage life all about sex? Kwani mkeo utamlinda muda wote kama mtoto mdogo? Unajuaje kama huyo uliyenaye sasa kama hafanyi uasherati?
 
Nina wachache wa shule ya msingi, sekondari na chuoni ambao ni marafiki mpaka leo kiasi cha kujuana ukoo wangu na wao.
 
Nina wachache wa shule ya msingi, sekondari na chuoni ambao ni marafiki mpaka leo kiasi cha kujuana ukoo wangu na wao.
Urafiki hauwezi kuwa kama ule wa kipindi hicho.
 
Is marriage life all about sex? Kwani mkeo utamlinda muda wote kama mtoto mdogo? Unajuaje kama huyo uliyenaye sasa kama hafanyi uasherati?
Everything you wrote in your thread is all about life concerns...watoto kugombanisha mama zao,wanawake kuoneana wivu(vyote ni kawaida ktk maisha)na mimi nikaongezea lingine...what is that you don't understand about my comment[emoji15]
 
Okay mkuu
 
Asante Samia umejua kuwatumikia Watanzania 2025 tutakupa kura zote.
Rais Samia hata asingepiga kampeni mwaka jana 2020 ushindi ulikuwa ni 90%. Rafiki zetu wa CHADEMA waliula wa chuya na hawakupata hata wabunge 5 tu.
 
Nadhani kesi nyingi zinamhusu binadamu,lakini mwangalie kiumbe anaitwa duma,anakomaa kuua lakini jirani yake fisi anakuja kula kila kitu.Nadhani Sir God Ni wakati aje atuweke wazi,kwanini ubinafsi uu katika kiwango hiki.
 
Mkuu, kwani fisi huwa hawindi kabisa kitoweo chake? Hata wale wanyama wadogo wadogo?
 
Rais Samia hata asingepiga kampeni mwaka jana 2020 ushindi ulikuwa ni 90%. Rafiki zetu wa CHADEMA waliula wa chuya na hawakupata hata wabunge 5 tu.
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
 
Nina wachache wa shule ya msingi, sekondari na chuoni ambao ni marafiki mpaka leo kiasi cha kujuana ukoo wangu na wao.
Kweli wa primary na secondary wanaweza kupotea pia wa chuo ila sio wa mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…