Rafiki wa kweli na mnafiki unaweza kukutana naye pahala popote pale. Mimi rafiki wengi niliokutana nao kazini bado tunawasiliana ingawa kampuni ilifungwa mwaka 2018Hata marafiki wa kazini kutembeleana majumbani sio poa kuna usnitch sana unatokeaga. Marafki mliokutana kazin huwa sio real friends kabisa, pale ni kazi ndo imewaungasha tu na sio kingine, hivyo msipende kutembeleana majumbani. Ukitaka kujua nyie sio marafiki mmoja aache kazi uone kama mtaendelea kutafutana kama mwanzo.
Usaliti unaweza kutokea hata kama mtu na rafiki yake wanaishi sehemu za mbali kama vile Bunju na Kibamba.Kuna kuchapiana wake pia..ongeza nyama hapo mkuu
Ulivyopewa karatasi ya kura mwaka jana 2020 ulihakikisha umempa alama ya vema Rais Samia?Rais Samia anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.Ulivyopewa karatasi ya kura mwaka jana 2020 ulihakikisha umempa alama ya vema Rais Samia?
President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.
Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.Tumpongeze Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania, huyo Lissu msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
Sawa mkuuSio best friend tu bali hata ndg wa damu haifai kukaa karibukaribu
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania, huyo Lissu msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.
Hahahahaaaaa sawa mzee babaChupa na kizibo wanakusalimia...
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Rais samia ndio shujaa wetu.Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.