Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Mkuu kwangu hiyo naiona hatari sana,, kama kwenda kawaida muende wote
Mkuu kwenda na shemeji yako bar duhh noma akiona unakodoa macho unajua mimi mdhaifu na mifadhaiko sasa akiona nakodoa macho kwenye mifadhaiko basi ugomvi.