There is a saying that goes like "If you don't know where u r going, any road will take u there"Naulizwa
Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?
Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?
Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Kitendo cha wewe kuuliza ni wazi kuwa unaandaa hadaa juu ya mwenzako, pia hujui nini unataka wewe mwenyewe! kama nyote mna malengo ya ndoa basi subirini muoane. Ila hili si jambo la kuambiwa, u either have this standard in u or u just don't have it.