Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
FirdausMabikira 70 wako kwenye pepo ipi?
Hiyo ndiyo pepo ya ndoto zanguFirdaus
Hujatosheka huku duniani?Hiyo ndiyo pepo ya ndoto zangu
Mpaka sasa nakula K za mtumba, sijatoa nylonHujatosheka huku duniani?
Kwenye Uisilamu Peponi na mbinguni ni vitu viwili Tofauti.Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso,
Yesu alimwambia yule mwizi msalabani:
“Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.”
(Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus
Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah Al-Mu'minun 23:10–11).
Sifa ya firdaus na paradiso uko mbinguni tofauti kabisa, japo njia ya Kufikia katika hizo mbingu ni kama zinaendana sana, japo Kila mmoja anaona yeye yupo sahii na mbingu yake ni sahii kuliko mbingu ya mwingine.
Sifa zake ni kama zinafanana hakuna kifo, hakuna maumivu, Kuna furaha ya milele, Ni makao ya watu walioishi kwa imani na uadilifu kulingana na mafundisho ya dini zao.
Sasa kinachokuja kutofautisha ni sifa ya Kila mbingu
Mmoja wapo anaamini siku zote ni kuimba, kuabudu milele na milele , kula na kunywa wakimsifu Mungu,
Lakini wengine Kuna mambo mazuri pia Bustani na mito, Vyakula na vinywaji(hawajasema vinywaji Gani) Mavazi mazuri , Kwa waumini wa kiume, Qurani inataja kuwepo kwa hur al-'ayn (wenzi wa Peponi) hapa wanazuoni wanatafasiri tofauti wengine wanasema ni mabikra safi, yaani utamu umeongezwa mara nyingi kuliko huu wa duniani.
Inaonekana mambo ni mchanganyiko sana, vipi Kwa tabia, matendo yako unajiona ukifika paradiso au firdaus?
Rizika na ulichonacho achana issue za peponiMpaka sasa nakula za mtumba, sijatoa nylon
OohKwenye Uisilamu Peponi na mbinguni ni vitu viwili Tofauti.
Mfano hapa Duniani tayari ni mbingu (think of it like dimension) universe zote ni mbingu ya Kwanza, then kuna mbingu 7, then baada ya Mbingu kuna Arsh, Peponi, motoni, etc.
Bado sijapata cha kuridhika nachoRizika na ulichonacho achana issue za peponi
Kila ka heriBado sijapata cha kuridhika nacho
Ukiwaza kuhusu dini uislamu weka pembeni.Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso,
Yesu alimwambia yule mwizi msalabani:
“Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.”
(Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus
Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah Al-Mu'minun 23:10–11).
Sifa ya firdaus na paradiso uko mbinguni tofauti kabisa, japo njia ya Kufikia katika hizo mbingu ni kama zinaendana sana, japo Kila mmoja anaona yeye yupo sahii na mbingu yake ni sahii kuliko mbingu ya mwingine.
Sifa zake ni kama zinafanana hakuna kifo, hakuna maumivu, Kuna furaha ya milele, Ni makao ya watu walioishi kwa imani na uadilifu kulingana na mafundisho ya dini zao.
Sasa kinachokuja kutofautisha ni sifa ya Kila mbingu
Mmoja wapo anaamini siku zote ni kuimba, kuabudu milele na milele , kula na kunywa wakimsifu Mungu,
Lakini wengine Kuna mambo mazuri pia Bustani na mito, Vyakula na vinywaji(hawajasema vinywaji Gani) Mavazi mazuri , Kwa waumini wa kiume, Qurani inataja kuwepo kwa hur al-'ayn (wenzi wa Peponi) hapa wanazuoni wanatafasiri tofauti wengine wanasema ni mabikra safi, yaani utamu umeongezwa mara nyingi kuliko huu wa duniani.
Inaonekana mambo ni mchanganyiko sana, vipi Kwa tabia, matendo yako unajiona ukifika paradiso au firdaus?
Acha kutupunja mkuu.Mabikira 70 wako kwenye pepo ipi?
Asante kwa taarifa njemaAcha kutupunja mkuu.
Ni mabikira 72 siyo 70
AminKila ka heri
Ila story nyingine ukizifikiria sana. Unaamua tu kuwa mpenzi mtazamajiMpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso,
Yesu alimwambia yule mwizi msalabani:
“Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.”
(Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus
Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah Al-Mu'minun 23:10–11).
Sifa ya firdaus na paradiso uko mbinguni tofauti kabisa, japo njia ya Kufikia katika hizo mbingu ni kama zinaendana sana, japo Kila mmoja anaona yeye yupo sahii na mbingu yake ni sahii kuliko mbingu ya mwingine.
Sifa zake ni kama zinafanana hakuna kifo, hakuna maumivu, Kuna furaha ya milele, Ni makao ya watu walioishi kwa imani na uadilifu kulingana na mafundisho ya dini zao.
Sasa kinachokuja kutofautisha ni sifa ya Kila mbingu
Mmoja wapo anaamini siku zote ni kuimba, kuabudu milele na milele , kula na kunywa wakimsifu Mungu,
Lakini wengine Kuna mambo mazuri pia Bustani na mito, Vyakula na vinywaji(hawajasema vinywaji Gani) Mavazi mazuri , Kwa waumini wa kiume, Qurani inataja kuwepo kwa hur al-'ayn (wenzi wa Peponi) hapa wanazuoni wanatafasiri tofauti wengine wanasema ni mabikra safi, yaani utamu umeongezwa mara nyingi kuliko huu wa duniani.
Inaonekana mambo ni mchanganyiko sana, vipi Kwa tabia, matendo yako unajiona ukifika paradiso au firdaus?
Inasikitisha... sanaKwenye mabikra ndo napotaka mm