Unatamani kuingia mbingu ipi? Firdaus au paradiso ya milele?

Unatamani kuingia mbingu ipi? Firdaus au paradiso ya milele?

Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso,
Yesu alimwambia yule mwizi msalabani:
“Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.”
(Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus
Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah Al-Mu'minun 23:10–11).

Sifa ya firdaus na paradiso uko mbinguni tofauti kabisa, japo njia ya Kufikia katika hizo mbingu ni kama zinaendana sana, japo Kila mmoja anaona yeye yupo sahii na mbingu yake ni sahii kuliko mbingu ya mwingine.
Sifa zake ni kama zinafanana hakuna kifo, hakuna maumivu, Kuna furaha ya milele, Ni makao ya watu walioishi kwa imani na uadilifu kulingana na mafundisho ya dini zao.

Sasa kinachokuja kutofautisha ni sifa ya Kila mbingu
Mmoja wapo anaamini siku zote ni kuimba, kuabudu milele na milele , kula na kunywa wakimsifu Mungu,

Lakini wengine Kuna mambo mazuri pia Bustani na mito, Vyakula na vinywaji(hawajasema vinywaji Gani) Mavazi mazuri , Kwa waumini wa kiume, Qurani inataja kuwepo kwa hur al-'ayn (wenzi wa Peponi) hapa wanazuoni wanatafasiri tofauti wengine wanasema ni mabikra safi, yaani utamu umeongezwa mara nyingi kuliko huu wa duniani.
Inaonekana mambo ni mchanganyiko sana, vipi Kwa tabia, matendo yako unajiona ukifika paradiso au firdaus?
Ile ya wake 70 ingenigaa zaidi..
 
Kama ukilala tu hukumbuki chochote sembuse kufa may be tusubiri tuone kama kweli kuna mbingu
 
basi mkuu kupanga ni kuchagua upeleke moto dunian halafu zile 70 ukawaone wenzako wanazichapa au uwe mtakatifu huku ukafaidi mbele ya safari
Ngoja tuangalie sasa, hayo mambo ya baadae tutajua huko huko.
 
IMG_20260727_214641.jpg
IMG_20260727_222711.jpg
Screenshot_2026-07-27-19-50-54-07_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
Screenshot_2026-07-27-20-39-21-56_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
Back
Top Bottom